KVZ watuma salamu kwa Wasudan WAWAKILISHI kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, KVZ kutoka kisiwani Unguja leo Ijumaa watacheza mechi yao ya awali kwenye michuano hiyo dhidi ya AL Atbara ya Sudan huku...
Vijana hawakufuata maelekezo KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 'Ngorongoro Heroes', Jamhuri Kihwelu 'Julio' amesema kukosa kwao ubingwa kwenye fainali ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ni...
Fernandes akubali mavitu ya Van de Beek KIUNGO fundi wa mpira, Bruno Fernandes amesema tena kwa kusisitiza anaendana kimchezo na Donny van de Beek baada ya kuisaidia Manchester United kupindua meza dhidi ya Southampton kwenye Ligi Kuu...
Msuva amaliza tetesi akitua Wydad Casablanca Taarifa hizi mpya zinakatisha sintofahamu zilizokuwepo kuhusu usajili wa nyota huyo kwenye klabu mbalimbali alizokuwa akihusishwa nazo kama Benfica ya Ureno.
VIDEO: Samatta kutua Fenerbahce Samatta alijiunga na Aston Villa mwezi Januari mwaka huu kwa ada ya Euro 10.5 milioni akitokea KRC Genk
96 Mil kuteketea bata la Yanga MAMBO ya fedha bwana! Klabu ya Yanga inatarajiwa kutumia kiasi cha Sh96 milioni kwa ajili ya sherehe zake za ubingwa wa Ligi Kuu Bara ilioutwaa hivi karibuni.
Keisha: Sirudi ng'o Tip Top BAADA ya kupigwa 'stop' kutokanyaga Manzese ambako Kundi la Tip Top Connection limeweka makazi yake, mwanamuziki Keisha amesema kamwe hatarejea tena kundini humo.
Chikupe atinga na mkoko mazoezini Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' alikuwa mazoezini leo asubuhi na timu hiyo kwenye Uwanja Uhuru huku nje ya uwanja akiwa amepaki gari yake aina ya Toyota IST.
Ofisa Habari Fountain Gate atua DTB Timu ya DTB inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza leo imemtambulisha rasmi aliyewahi kuwa Ofisa Habari wa timu ya Fountain Gate, Juma Ayo baada ya kuingia naye mkataba wa mwaka mmoja.
Kajumulo amvaa Tenga TFF,Leodegar Tenga BAADA ya kupotea kwa muda mrefu, mdau wa soka Alex Kajumulo ameibuka kuwania nafasi ya Rais wa Shirikisho la