Muziki mpya wa Yanga noma KWA mtazamo wa haraka katika programu za kwanza za mazoezi ya kocha mpya wa Yanga,Hans van der Pluijm ni kwamba kutatokea mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha kwanza.
Phiri: Maximo kapata SAA chache baada ya kutua katika kikosi cha Yanga, straika Danny Mrwanda amepewa jezi namba 24 iliyokuwa ikivaliwa na kiungo Athuman Idd ‘Chuji’ lakini mwenyewe ameikataa na anataka apewe namba 33.
Sserunkuma: Naanza na Yanga STRAIKA mpya wa Simba, Dan Sserunkuma, aliyeanza matizi jana Jumatatu amewaambia mashabiki wa Mnyama kuwa yeye ni mtu wa vitendo, lakini wakae mkao wa kula kwa ajili ya mechi yao ya Jumamosi ya...
Taifa Stars: Miezi 12 pointi 14 TAIFA Stars kwa sasa imeshuka katika chati ya viwango vya soka duniani ikishuka mpaka nafasi ya 112 kutoka ile ya awali 110.
Sserunkuma aitetemesha Yanga MABEKI wa Yanga, wamesema endapo watani wao wa jadi, Simba, wakimsainisha Dan Sserunkuma, watakuwa wamepata kifaa na mambo yatakuwa si mchezo kwenye mechi ya Mtani Jembe Desemba 13.
Oscar anapiga dili kimtindo KWA Tanzania, Azam FC,Simba na Yanga ndiyo klabu za kwanza za soka kuwa na uwezo wa kusajili mchezaji hata kwa Sh80 milioni bila kuathiri shughuli nyingine klabuni.
Mbuyu Twite sasa apata kiboko yake KIUNGO wa Yanga, Mnyarwanda Mbuyu Twite ndio anatambulika kuwa kinara wa kurusha mipira ya adhabu inayokwenda langoni mwa adui kama kona na Oscar Joshua wa klabu hiyo alikuwa anafuata...
Mourinho awabwatukia mashabiki wa Chelsea HAMFAI hata kidogo. Hamtusaidii. Ndivyo anavyolalamika kocha wa Chelsea, Jose Mourinho dhidi ya mashabiki wake wa Chelsea. Anaona wako kimya uwanjani na wanaisaidia timu pinzani.
Mastaa wanne Yanga kuikosa Kagera WACHEZAJI wanne wa kikosi cha Yanga wataikosa mechi ya wikiendi hii dhidi ya Kagera Sugar baada ya kukumbwa na matatizo mbalimbali.
CHUPUCHUPU :Van Persie aigomea Chelsea Old Trafford NGOMA ya wanaume. Straika Robin van Persie alifunga kwenye dakika za majeruhi kuigomea Chelsea kuondoka na pointi zote tatu Old Trafford wakati Manchester United ilipoambulia sare ya bao 1-1...