Yanga yafanya uamuzi mgumu BENCHI la Ufundi la Yanga limefanya uamuzi mgumu baada ya kutangaza kwamba kipa namba moja wa timu hiyo, Deo Munishi ‘Dida’ ambaye amerejea mazoezini atakaa benchi na Ally Mustapha ‘Barthez’...
WAPIGWE TU KIONGOZI wa wachezaji wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kocha wake, Hans Pluijm hawakuvutiwa na kiwango cha timu hiyo jana Jumatano ingawa walishinda bao 1-0 dhidi ya Coastal Union mjini...
Milioni 100 zaiua Yanga U/Taifa NDANDA FC ya Mtwara imeweka rekodi ya aina yake kwa kukanyaga kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam na kulazimisha suluhu na Yanga ambayo usajili wake ni zaidi ya Sh500 milioni.
Schurrle anahitaji kuondoka Chelsea KILA mchezaji wa mpira ana ndoto ya kucheza katika klabu kubwa barani Ulaya.
Guu la beki wa Mtibwa noma sana MGUU wa beki wa kati wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde ni kiboko aisee, kwani amewapiga bao wachezaji wote wa Simba na Yanga na kuwa kinara wa kuvaa kiatu chenye saizi kubwa yaani namba 13, ambayo...
Yanga pesa yenu tu kwa Luhende YANGA ipo katika mkakati wa kuhakikisha inamrudisha kundini beki wa kushoto, David Luhende, kutoka Mtibwa Sugar.
Kumbe hata Yanga nayo ni masikini wa wachezaji BAADA ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi juzi Jumanne usiku na Simba kutwaa taji, sasa mawazo ya wadau wengi wa soka yataanza kuelekezwa ndani ya timu mbili kama si nne...
Simba, Yanga zimechemsha KIPINDI cha usajili kwa Ligi Kuu Bara ni kipindi cha vituko. Mambo mengi ya kushangaza, visa na vitimbi vingi hutokea kipindi hiki hususan kwa timu za Simba na Yanga.
Yanga yaisulubu Polisi Zanzibar HATUREMBI! Hii ndiyo kauli ya Yanga jana Jumapili baada ya kuendeleza ushindi katika michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Polisi Zanzibar mabao 4-0 kwenye Uwanja wa Amaan.
Msuva aah! Hii sasa sifa WINGA wa Yanga, Simon Msuva ameifungia timu yake mabao matatu ‘hat trick’ kisha akatoa pasi ya bao la nne na kuiwezesha kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Taifa Jang’ombe jana usiku kwenye...