West Ham yavunja rekodi ya usajili Championship WEST HAM United imeweka rekodi mpya ya usajili katika ligi za EFL baada ya kumsajili kiungo Arne Engels kutoka Celtic kwa ada ya pauni milioni 22.
Arteta awatuliza mashabiki wa Arsenal KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amewataka mashabiki wa klabu hiyo kutokuwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wake baada ya kutoa ishara kuwa yuko tayari kuongeza mkataba wake na kikosi hicho.
Liverpool yapata mwanya wa kumsajili Barcola LIVERPOOL imepata matumaini mapya katika harakati zake za kumsajili winga wa Paris Saint-Germain (PSG), Bradley Barcola, baada ya rais wa klabu hiyo, Nasser Al-Khelaifi, kushindwa kutoa uhakika...
Masikini! Musiala aanguka uwanjani KIUNGO Jamal Musiala aliwaacha mashabiki wa Bayern Munich wakiwa na hofu baada ya kuanguka uwanjani kutokana na joto kali wakati timu hiyo ilipocheza mechi ya kirafiki ya kujiandaa na msimu mpya...
Coventry yamvizia beki wa Chelsea COVENTRY City imeingia kwenye mbio za kumsajili beki wa Chelsea, Josh Acheampong, huku mabingwa hao wa England sasa wakionekana kuwa tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya mchezaji huyo, kwa mujibu...
Rais Samia ampongeza bingwa wa gofu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtumia salamu za pongezi kwa mchezaji wa Klabu ya Gofu Lugalo, Hawa Wanyeche, baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya Uganda...
Page aachwa kikosi cha Leicester, Man United yamuwania MANCHESTER United imepata matumaini zaidi katika harakati zake za kumsajili kinda wa Leicester City, Louis Page, baada ya mchezaji huyo kuachwa nje ya kikosi kilichokutana na Notts County.
Mashabiki Chelsea wamzomea Enzo KIUNGO wa Chelsea, Enzo Fernandez amejikuta katikati ya mjadala mkubwa baada ya mashabiki wa klabu hiyo kuonyesha hisia tofauti aliporejea uwanjani katika mchezo wa mwisho wa kirafiki wa...
Wakongomani waibeba Yanga ikianza msimu na ushindi YANGA imeanza vizuri Ligi Kuu Bara msimu wa 2026-2027, baada ya kuichapa Namungo nyumbani kwao mabao 3-1, huku mabao yake mawili kati ya matatu yakifungwa na Wakongomani.
LA LIGA inaanza leo, macho kwenye skrinii! Kabla ya kurejea kwa La Liga leo, Agosti 15, 2026, kuna wachezaji tisa ambao inatarajiwa mashabiki kutoka pande nne za dunia watakuwa wakiwafuatilia kwa karibu katika msimu wa 2026/27.