Coast vs Congo Kesho Uwanjani TIMU ya Coastal Union kutoka Tanga itapambana na Congo United kwenye mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu utakaofanyika kwenye uwanja wa Mbaraki Sports Club mjini Mombasa kesho Jumatano.
Kumbe Conte kakataa ofa ya kuinoa Madrid Kocha Antonio Conte ameripotiwa kukataa nafasi ya kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa Real Madrid ya Hispania.
Waandishi wanawake kujifunza lugha zaidi ya tano WAANDISHI wa habari za michezo upande wa wanawake, wametakiwa kufanya kazi za kipekee ambazo zitawatofautisha na wengine, pia wajifunze lugha zaidi ya tano na kujiwekea utamaduni wa kusoma vitabu.
Serena hafikiri kustaafu kucheza tenisi Serena akiwa na miaka 37 hivi sasa haionekani kuwa tayari kustaafu tenisi wakati wowote hivi karibuni.
DJ Arafat amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki Mwanamuziki maarufu wa mitindo ya Coupé-Décalé nchini Ivory Coast, Houon Ange Didier ‘DJ Arafat’ (33), amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki aliyokuwa akiendesha kugongwa na gari.
Federer agoma kupokea Dola 1 milioni za Saudi Arabia Mcheza tenisi mahiri wa Uswisi, Roger Federer, ameipuuza na kukataa ofa ya Dola 1 milioni kutoka Serikali ya Saudi Arabia ili kucheza mechi za mashindano maalumu ‘Super Match’.
Cardi B awasapraizi mashabiki wake RAPA mwenye tuzo ya Grammy, Cardi B amewafanyia sapraizi mashabiki wake duniani kwa kuianika picha ya kwanza ya mtoto mpya aliyemzaa na nyota wa NFL, Stefon Diggs.
Ronaldo aonyesha ubora: ‘Bicycle Kick’ yaleta ushindi wa 4–1 kwa Al-Nassr Mshambuliaji mkongwe Cristiano Ronaldo ameendelea kudhihirisha kuwa bado ana ubora wa hali ya juu baada ya kufunga bao maridadi la ‘Bicycle Kick’ katika ushindi wa 4–1 wa Al-Nassr dhidi ya...
Man United yaichapa Arsenal kwao SHUTI la ajabu la Matheus Cunha lilitosha kuizima Arsenal kwao uwanjani Emirates wakati Manchester United ilipoibuka na ushindi wa mabao 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu England uliofanyika Jumapili.
Lookman afurahia changamoto kubwa MSHAMBULIAJI wa Nigeria, Ademola Lookman, amesema imani ya timu yake inaongezeka kila siku katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 huku Super Eagles wakijitayarisha kukutana na Algeria...