Kauli ya Lisandro Martinez yamchekesha Carragher UKICHOKA watu wanakuchoka zaidi. Na hicho ndicho kinachotokea Manchester United baada ya gwiji wa wapinzani wao Liverpool, Jamie Carragher kuwapiga kijembe kwamba wachezaji wa Mashetani Wekundu...
Pesa ya Ronaldo katika Mitandao ya kijamii balaa STAA wa AL Nassr, Cristiano Ronaldo ambaye ni mshindi mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or, ni mmoja wa watu wenye nguvu katika upande wa mitandao ya kijamii hivi sasa akiwa ndio mtu mwenye wafuasi...
Ashley Young, mwanawe kuweka rekodi mpya England leo Leo usiku huenda ikatimia ndoto ya Ashley Young na mwanawe Tyler Young ya kuweka rekodi ya kucheza timu tofauti katika mechi moja pale Everton itakapokutana na Peterborough United kwenye michuano...
Slot aipa onyo Real Madrid hivyo, kwa kuwa mkataba wa beki huyo unamalizika msimu huu, huenda Madrid ikampata bure wakati huo. Alipoulizwa na waandishi wa habari iwapo anahofia kwamba Madrid inaweza kumchukua Trent...
Simba, Yanga ni ng’adu kwa ng’adu HII ni vita ya watani wa jadi, yaani ng’adu kwa ng’adu mpaka kieleweke. Unaweza kusema hivyo kutokana na namna Simba na Yanga zinavyokabana koo pale juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zikiwa...
PUMZI YA MOTO: 2024 ulikuwa mwaka wa Fei Toto LIONEL Messi anatajwa mmoja wa wachezaji bora wa muda wote duniani, kama siyo mchezaji bora wa muda wote.
PRIME Fadlu: Tulieni, Mpanzu atawashangaza KOCHA wa Simba, Fadlu Davids amesikia kelele za mashabiki wanaomponda Ellie Mpanzu, kisha akamkingia kifua kwa kumtetea akisema wanambeza leo ndio watakaomshangilia baadaye, huku akiitaja Yanga...
Man United yavunja rekodi chafu tu MANCHESTER United imeendelea kukusanya rekodi za hovyo kwenye Ligi Kuu England baada ya kukubali kipigo kutoka kwa Bournemouth juzi Jumapili.
Serikali kuongeza ulizi Kwa Mkapa, kamera 200 kufungwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaonya mashabiki wa mpira wa miguu wanaofanya vurugu uwanjani akisema watashughulikiwa, kwani Serikali ina ukarabati kwa kuweka kamera zaidi ya 200.
Jamie Carragher: Salah huyu mbona wetu LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher ametaja sababu inayomfanya aamini kuwa Mohamed Salah ataongeza mkataba wa kuendelea kusalia Liverpool baada ya msimu huu kumalizika.