Serena, Venus kukipiga pamoja Wimbledon MASTAA wa tenisi wakongwe, Serena na Venus Williams watafufua ushirikiano wao wa kihistoria katika mechi ya wachezaji wawili wawil, kwenye michuano ya Wimbledon, mwezi huu, baada ya kupewa...
Klopp na Van Dijk wahoji mapumziko ya dakika tatu WAKATI Fainali za Kombe la Dunia 2026 zikiendelea, nahodha wa Uholanzi Virgil van Dijk amekuwa mchezaji wa kwanza kupinga wachezaji kunywa maji mara moja kwenye kila kipindi akisema jambo hilo...
Mbappe mfungaji bora Ufaransa, akiwapiku Giroud, Pele, Messi MSHAMBULIAJI wa Ufaransa, Kylian Mbappe ameandika rekodi mpya leo baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa timu hiyo wa 3-1, dhidi ya Senegal na kuibuka mfungaji bora wa muda wote wa taifa...
Klose abariki Messi kuvunja rekodi yake SAA chache kabla ya Argentina kuanza kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026, mshambuliaji wa zamani wa Ujerumani na kinara wa mabao wa muda wote wa mashindano hayo, Miroslav Klose, ametoa kauli...
Kutoka Diouf hadi Mane, Senegal yaota kurudia maajabu dhidi ya Ufaransa UNAKUMBUKA wakati Senegal ilipowashangaza mabingwa wa dunia watetezi, Ufaransa? Ni ile gemu ya Ufaransa 0-1 Senegal ya mwaka 2002. Inarudiwa tena leo. Ikiwa ni zaidi ya miongo miwili tangu...
Polisi wajigeuza 'maskoti' msako dawa za kulevya Kombe la Dunia POLISI wa Peru wametumia mbinu isiyo ya kawaida katika mapambano dhidi ya biashara ya dawa za kulevya, kwa kufanya operesheni maalumu mjini Lima wakiwa wamevalia mavazi ya vinyago rasmi vya Kombe...
Shakira atambulisha mpenzi mpya! KAMA bado unalitafakari biti kali la Dai Dai aliloliachia mwimbaji maarufu kutoka Colombia, Shakira Isabel, taarifa ikufikie kwamba ametambulisha mpenzi mpya anayetofautiana naye umri kwa miaka...
Rekodi 10 ngumu kuvunjika Kombe la Dunia 2026 WAKATI nyota kama Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Kylian Mbappe wakitarajiwa kuweka rekodi mpya katika Kombe la Dunia 2026, zipo baadhi ya rekodi ambazo zinaonekana kuwa ngumu kuvunjwa kabisa.
Salah aendeleza makali Kombe la Dunia LICHA ya timu ya taifa ya Misri kuanza kampeni za Kombe la Dunia kwa sare ya bao 1-1, dhidi ya Ubelgiji, ila nyota wa kikosi hicho, Mohamed Salah ameandika rekodi mbili za kibabe.