Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8451 results for Mwandishi Wetu :

  1. Hispania yaitupa nje Uruguay

    Hispania imefanikiwa kutinga hatua ya 32 bora kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Uruguay kwa bao 1-0 na kuitupa nje ya mashindano timu hiyo.

    SPAIN Pict
  2. Miamba iliyocheza mechi nyingi Kombe la Dunia

    WASHINGTON, MAREKANI: FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zimefshachezwa mechi tatu kwa kila timu hadi sasa. Lakini, nyuma ya fainali hizo kuna mastaa waliocheza mechi nyingi hadi sasa katika...

    MIAMBA Pict
  3. Dembele aingia kwenye historia ya Kombe la Dunia kwa hat-trick ya mapema

    NYOTA wa Ufaransa, Ousmane Dembele, ameandika historia mpya usiku wa kuamkia leo, Jumamosi katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kufunga hat-trick ndani ya dakika 32 katika ushindi wa mabao 4-1...

    DEMBELE Pict
  4. Senegal yaifumua Iraq 5-0, yafufua matumaini ya kutinga mtoano

    TIMU ya taifa ya Senegal imefufua matumaini ya kutinga hatua ya 32 Bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Iraq mabao 5-0 katika mchezo wa mwisho wa Kundi I uliochezwa Uwanja wa Boston...

    SENEGAL Pict
  5. Ivory Coast ilivyomalizana na Curacao

    IVORY COAST wataingia katika hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia baada ya straika wa Villarreal, Nicolas Pepe kuibuka shujaa katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Curacao.

    CURACAO Pict
  6. Cole Palmer adaiwa kuchoshwa Chelsea

    KIUNGO mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer inadaiwa kuzidi kukata tamaa na maisha ndani ya klabu hiyo na sasa yupo tayari kuangalia uwezekano wa kuondoka Stamford Bridge dirisha hili la usajili.

    PALMER Pict
  7. Pambano la Fury, Joshua lazua utata

    PROMOTA wa bondia Anthony Joshua, Eddie Hearn amesema pambano kubwa linalosubiriwa kwa hamu kati ya Anthony Joshua na Tyson Fury limepangwa kufanyika Uingereza na litahamishiwa Marekani ikiwa...

    PAMBANO Pict
  8. Mourinho adai hatamsahau Anthony Taylor

    KOCHA mpya wa Real Madrid, Jose Mourinho amesema bado hajasahau maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League akiwa na Roma, akisisitiza kama angepewa nafasi ya kurudia mchezo mmoja katika maisha...

    MOURINHO Pict
  9. Timu kuongezwa Kombe la Dunia la Klabu, EPL ikinufaika

    SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) linatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia la Klabu baada ya kuanza mchakato wa kupanua mashindano hayo kutoka timu 32 hadi...

    FIFA Pict
  10. Siondoki! Bruno Fernandes amaliza utata Man United

    NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, ameripotiwa kufanya uamuzi wa mwisho kuhusu mustakabali wake kwa kuamua kubaki Old Trafford kwa angalau msimu mmoja zaidi licha ya kuendelea...

    BRUNO Pict
Previous

Page 64 of 846

Next