Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

973 results for Oscar Oscar :

  1. Serengeti Boys hesabu zote Uturuki

    WENYEJI wa fainali za Afrika kwa Timu za Vijana U-17, Afcon itakayofanyika nchini Aprili mwaka huu, wanasubiri kuelekea kuonyesha makeke ya kunoa makali Ulaya kujiweka fiti zaidi kwa michuano hiyo.

  2. Mzungu Serengeti Boys ayeyuka, Mrundi atajwa

    ULE mpango wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wa kutaka kuongeza kocha mzungu kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Vijana U-17, Serengeti Boys umeyeyuka na sasa anatajwa Mrundi.

  3. Serengeti Boys kukata utepe na Guinea Ulaya

    Mashindano hayo ambayo yatashirikisha mataifa 17, yameandaliwa na Shirikisho la Sola la Bara la Ulaya (Uefa) kwa lengo la kuzipa mazoezi na uzoefu timu mbali mbali kwa ajili ya mashindano tofauti.

  4. TFF:Tuko hatua za mwisho kuongeza nguvu benchi la Ufundi Serengeti

    Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidau alisema wako kwenye hatua za mwisho kumleta kocha ambaye atasaidiana na kocha mkuu, Oscar Milambo.

  5. Serengeti Boys moto wake hadi ubingwa U-17

    Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ inaanza kambi leo tayari kujiandaa na Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) kwa vijana yatakazoanza Aprili 18...

  6. Kizungumkuti Afcon 2019

    Fursa hii kwa Tanzania kupewa uenyeji wa mashindano haya imekuja kwa bahati ya aina yake kwa kuwa nchi mbalimbali zilituma maombi ya kuandaa fainali hizo kabla ya Caf kutoa uamuzi.

  7. Hata Samatta huenda akasahulika kama De Mello

    Wakati wenzetu wanazo kumbukumbu za miaka mingi za mchezo huu sisi hatujalipa umuhimu suali hili. Si ajabu wachezaji mashuhuri wa sasa kama Mbwana Samatta wakawa hazijulikani habari zao miaka...

  8. Aussems ajaza viungo Simba

    Kikosi kilichotua juzi Jumatano cha wachezaji wanane ambacho kimeungana na kikosi kilichobaki Zanzibar viungo wapo wanne ambao ni Yahya Mbegu, Salum Shaban, Dickson Mhilu na Oscar Modest.

  9. Mirambo aachiwe Serengeti Boys

    Wakati tukisubiri kuanza mashindano hayo, Serengeti Boys tayari walianza kujiimarisha kucheza mechi za kirafiki na katika hilo walibeba kombe la COSAFA ambalo walikuwa kama wageni waalikwa.

  10. Matano mazito 2019 yanayoikabili Tanzania

    Leo ni mwaka mwingine, ni mwaka mpya wa 2019 baada ya kumalizika kwa mwaka 2018 jana saa 6:00 usiku na ilipoingia dakika moja, mwaka 2019 ulikuwa umeanza.

Previous

Page 61 of 98

Next