Taa zazima uwanjani Kaitaba mechi Kagera Sugar vs Geita Gold yaahirishwa
Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Kagera Sugar dhidi ya Geita Gold FC umeahiriishwa timu zote zikiwa suluhu 0-0, ni kutokana na tatizo la umeme ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, ukiwa umechezwa kwa...