Serengeti Boys yachochea ile derby ya Arachuga TIMU ya Arusha United “Wana Utalii” imejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kushindwa kufurukuta katika safu za kikosi cha vijana wa Serengeti Boys katika mchezo wa kirafiki uliopigwa katika...
Milambo anataka kitu tofauti Uturuki KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Vijana U17, Serengeti Boys, Oscar Milambo ameanza mikakati mahsusi kuhakikisha hawaendi kutalii Uturuki katika Mashidano ya Uefa Assits ila washindani wa kweli.
Serengeti Boys yatoshana nguvu na Arusha Utd TIMU ya Taifa Tanzania chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeweza kutoshana nguvu na timu ya Ligi Daraja la Kwanza, Arusha Utd baada ya kutoka sare 1-1 mchezo uliopigwa katika uwanja wa Sheikh...
Serengeti kujipima na Arusha Utd, Polisi Tanzania Serenegti Boys wameweka kambi mkoani Arusha wakijiandaa na mashindano ya Uefa Assist yatakayofanyika nchini Uturuki mwishoni mwa mwezi huu.
Wadau watoa neno uteuzi wa Amunike Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao jana alisema Amunike ataongeza nguvu Serengeti Boys licha ya timu hiyo kunolewa na Kocha Oscar Mirambo.
Amunike kuinoa Serengeti Boys Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike amejumuishwa kwenye benchi la ufundi la timu ya vijana (Serengeti Boys) inayojiandaa na fainali za Afrika za vijana (Afcon U17).
Kocha Amunike atua Arusha kuongezea nguvu Serengeti Boys Kikosi cha Serengeti Boys kimeweka kambi Arusha kujiandaa na mashindano ya Uturuki Assist yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu huku pia kikijifua na mashindano makubwa ya Afcon vijana...
Rabin Sanya sasa amkuna Milambo MAPOKEO ya mafunzo sambamba na kipaji alichonacho nyota chipukizi wa soka nchini Rabbin Sanya yameonekana kumkosha Kocha Mkuu wa kikosi cha Vijana U17, Serengeti Boys Oscar Milambo.
Kocha U17 sasa aipigia Uturuki hesabu kali huko TIMU ya Taifa Tanzania chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeweka kambi mkoani Arusha wakifanya maandalizi kwaajili ya mashindano ya UEFA Assist ambayo Serengeti anaenda kama mwalikwa.
Siri ya kambi ya Serengeti hii hapa Timu ya Taifa Tanzania chini ya miaka 14 (Serengeti Boys) imeweka kambi mkoani Arusha wakijiandaa na Mashindano yaliyoandaliwa na Uefa yatakayofanyika nchini Uturuki mwezi huu.