Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

973 results for Oscar Oscar :

  1. Wameipigia bao Chelsea wakiwa makinda Ligi ya Mabingwa Ulaya

    REECE James amekuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuifungia bao Chelsea kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati alipoweka wavuni kuisawazishia The Blues kwenye sare ya 4-4 dhidi ya Ajax...

  2. Tabasamu la Manara, huzuni kwa Miraji Athumani

    Kama haitoshi, kuelekea michezo mbalimbali ambayo klabu zetu zinacheza, sio wachezaji wala makocha wanaozungumzia hali ya klabu, wachezaji na mbinu bali ni wasemaji ndio wanaosimama kidete...

  3. Toronto Raptors yaichapa Lakers, LeBron ang'ara NBA

    Kichapo cha Lakers kutoka kwa Toronto Raptors ni cha kwanza baada ya ushindi mechi saba mfululizo za NBA

  4. Nchimbi, Kimenya waipangua Stars

    KAIMU kocha mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amepanga kikosi cha uhakika kuhakikisha wanatoka na matokeo mazuri katika mchezo wa leo Ijumaa dhidi ya Sudan.

  5. VIDEO: Kocha Tanzania aingia na mfumo wa 4-5-1 kwa Sudan kesho

    Tanzania inahitaji ushindi wa zaidi ya mabao mawili katika mchezo huo ili kupata nafasi ya kufuzu kwa Chan2020 Cameroon.

  6. Kocha Serengeti Boys aukwaa Ukurugenzi wa Ufundi TFF

    Aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya vijana Tanzania chini ya umri wa miaka 17 'Serengeti Boys', Oscar Mirambo, ametangazwa kuwa Mkurugenzi mpya wa Ufundi wa Shirikisho la Soka...

  7. Mashindano ya soka ya U 9 yazinduliwa Dar es Salaam

    Mashindano ya soka ya vijana wenye umri chini ya miaka 9, 11 na 13 ya Dar Youth Cup yamezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam .

  8. Yanga yazichochea Simba, Azam kimataifa

    Kufuzu hatua hiyo kutaifanya Yanga ijihakikishie kitita cha Dola 275,000 (zaidi ya Sh 630 milioni) ambazo hutolewa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwa timu inayotinga hatua hiyo.

  9. Kasi ya Kenya yamtisha kocha Ngorongoro Heroes

    Ngorongoro Heroes itachuana na Kenya kesho Jumanne saa 7:00 mchana ukiwa muendelezo wa mshindano ya Cecafa Chalenji yanayofanyika nchini Uganda.

  10. Ngoma, Chilunda waanzia nje, Azam ikiivaa Triangle United

    Chirwa na Djodi wanacheza kwa kuelewana kutokana na Djodi kuwa na uwezo wa umiliki mpira kwa hali ya juu ambapo akisaidiana na Chirwa mwenye nguvu basi mabeki wa timu pinzani huwa wanapata tabu.

Previous

Page 51 of 98

Next