Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

952 results for Waandishi Wetu :

  1. Mourinho apigwa rungu Uturuki

    JOSE Mourinho amekutana na adhabu ya kufungiwa mechi nne na kupigwa faini ya Pauni 35,000 baada ya kocha huyo wa Fenerbahce kutoa kauli iliyozua utata dhidi ya wapinzani wake.

    Murinbho Pict
  2. Kuondoa madudu Ligi Kuu, wadau wataka kampuni ya waamuzi

    WADAU mbalimbali wa soka nchini wamegawanyika kuhusu makosa yanayojirudia ya waamuzi wa Ligi Kuu Bara, baadhi wakitaka iundwe kampuni itakayowasimamia, huku wengine wakisema hiyo sio dawa kwani...

    New Content Item (3)
  3. Kasongo: Kuna makosa saba kila baada ya dakika 90

    OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almasi Kasongo amesema kutegemea kamati ya waamuzi bado ni tatizo tofauti na mataifa mengine yaliyoendelea, wakati akichangia mjadala unaohusu, 'Makosa...

  4. PRIME RIPOTI MAALUM-2: Kilichojificha nyuma ya kufeli wanamichezo

    KILIO cha wanamichezo wa Kitanzania kushindwa kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa bado hakijapatiwa ufumbuzi.

  5. PRIME ONE MAN SHOW! Hawa jamaa ni mastelingi wa msimu kwenye Ligi Kuu England

    SUPASTAA, Mohamed Salah kila anachoweka mezani msimu huu kinauzika. Kwenye Ligi Kuu England, mkali huyo wa kimataifa wa Misri, amehusika kwenye mabao 41 kwa maana ya kufunga na kuasisti katika...

    MAN Pict
  6. PRIME Aziz KI balaa! Aibuka na jambo lingine Yanga

    SAHAU ishu ya ndoa yake na Hamisa Mobetto. Achana na kitendo cha kusamehe fungate la ndoa na kukipiga katika mechi za Ligi Kuu kama hana chochote alichofanya. Pia jaribu kupotezea umahiri alionao...

    KI Aziz Pict
  7. PRIME Ripoti Maalumu -3: Hii ndo dawa madaktari wasiosajiliwa Ligi Kuu

    WADAU tofauti wa michezo na tiba wametoa maoni juu ya kile wanachoamini ni suluhisho la kumaliza changamoto ya uwepo wa madaktari kwa baadhi ya timu za Ligi Kuu ambao hawajasajiliwa na Baraza la...

  8. ALLY KAMWE: Namshawishi Mayele arudi, 5-0 za Simba zilinitesa

    KUNA muda kwenye maisha unajiwekea mipango yako au kudhania sehemu fulani inawahusu watu wa aina tofauti na wewe kumbe haiko hivyo.

  9. PRIME Ripoti Maalumu... Madhara madokta wasiosajiliwa haya hapa

    KATIKA makala yaliyopita gazeti hili, yalibainisha uwepo wa timu ambazo madaktari wake hawapo katika orodha ya usajili wa Baraza la Madaktari Tanzania kama Ibara ya 37 ya kanuni za usajili na...

    RIPOTI Pict
  10. PRIME Utata kadi nyekundu Namungo, nahodha asimulia

    WAKATI utata ukiendelea kuzunguka juu ya kadi aliyopewa beki wa Namungo, Erick Mukombozi dhidi ya Simba, nahodha wa timu hiyo, mkongwe Japhet Massawe amefunguka majibu aliyojibiwa na mwamuzi wa...

    Kadi Pict
Previous

Page 6 of 96

Next