Sasa ni Joshua vs Wilder PAMBANO la ngumi uzito wa juu duniani (heavyweight) kati ya mabondia Waingereza, Anthony Joshua na Dillian Whyte, lililokuwa lifanyike Jumamosi wiki hii, limefutwa kutokana na Whyte kukutwa na...
AJ amtaka Tyson, Usyk ni Dubois HATIMAYE Anthony Joshua ‘AJ’ alijirudisha kwenye ubabe wake wa ushindi kwa kumchapa mpinzani wake, Jermaine Franklin wikiendi iliyopita, ukumbini 02 Arena mjini London, kwa kura za majaji wote...
Promota afichua kilichomponza Joshua APRILI Mosi, bondia Anthony Joshua anatarajiwa kupanda ulingoni kurudisha ubabe wake wa ushindi mbele ya bondia Jermaine Franklin katika pambano litakalofanyika ukumbi wa 02 Arena jijini London...
NBA All-Stars ni mwisho wa enzi? LEBRON James, kwa mara nyingine tena alitibua rekodi yake tamu ya kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya ligi ya kikapu Marekani (NBA), kuchaguliwa na kucheza kwa misimu 19 mfululizo ya...
Mmarekani arithi mikoba ya Djuma Dodoma BAADA ya uongozi wa timu ya Dodoma Jiji kuachana na benchi lake la ufundi lililokuwa chini ya Masoud Djuma, timu hiyo imemtangaza aliyekuwa kocha wa Coastal Union na Gwambina, Melis Medo kuchukua...
Kibuta kuanza na Geita, muda wapanguliwa MCHEZAJI Mwana Kibuta, hatimaye anatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza katika timu ya Dodoma Jiji dhidi ya Geita Gold kesho Alhamisi, baada ya kupata kibali cha kazi, kiongozi wa juu wa timu...
Joshua ajilipua kwa Fury Matchroom, kampuni inayomsimamia Joshua ndio imethibitisha kukubali ofa hiyo leo na wapo tayari kupigana na Fury Desemba 03 baada ya awali kutaka pambano liwe Desemba 17 ambayo ilikataliwa na...
Kilichombeba Usyk kwa Joshua ALFAJIRI ya kuamkia juziJumapili, ulimwengu wa masumbwi, ulishuhudia pambano kali la marudiano uzito wa juu (heavyweight), baina ya mabondia Oleksandr Usyk na Anthony Joshua.
Kalambo arudi Dodoma, bado mmoja Hatimaye aliyekuwa kipa wa Dodoma Jiji, Aaron Kalambo amerudisha majeshi yake kwenye timu hiyo, akifunga idadi ya makipa watatu wa timu hiyo msimu ujao, ambapo amerejea kutokea timu ya Geita...
Kihimbwa, Kessy nao Dodoma Jiji DODOMA Jiji bado haijamaliza usajili! Hii ni baada ya kumnasa winga mshambuliaji, Salum Kihimbwa kutoka kwa "wakata miwa" Mtibwa Sugar.