Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1057 results for Eliya Solomon :

  1. Yanga yasisitiza kutocheza dabi, yaanika kukosa imani

    Yanga imedai kukosa imani na mamlaka za soka nchi na hata kukataa agizo la CAS la kucheza mechi ya marudiano na Simba.

  2. JKT Tanzania V Simba... Patachimbika

    SIMBA inarudi tena uwanjani kuvaana na maafande wa JKT Tanzania. Hicho ni kiporo cha pili kwa Wekundu wa Msimbazi Ligi Kuu Bara baada ya Ijumaa iliyopita kuanza kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...

    ISAMUHYO Pict
  3. Seif kutoka Bongo hadi mtaa wa kujidai wa Lamine Yamal

    NI umbali wa mita chache tu kutoka alikozaliwa na kulelewa nyota mpya wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ndipo yalipo maskani ya vijana watatu wa Kitanzania Jabir, Tariq na Barka Seif wanaoishi na...

    SEIF Pict
  4. Azam FC yashtukia kitu kwa Nizar

    WAKATI ikielezwa kuwa, Yanga iko katika mazungumzo na nyota wa JKU, Abubakar Nizar Othman, mabosi wa Azam FC wameweka wazi nyota huyo ni mali yao na hauzwi, hivyo wanaomtaka wasahau kuhusiana na...

    AZAM FC Pict
  5. PRIME Chamou atibua hesabu Simba

    KAMA utani hivi, beki wa kati Simba, Chamou Karaboue amebadili uamuzi wa mabosi wa klabu hiyo kutokana na kiwango chake, huku kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids akisema amefanikiwa kuwapa...

  6. KenGold yamliza Cabaye Bara

    KIUNGO wa KenGold, Abdallah Masoud 'Cabaye' amefunguka kuhusu kuumizwa kwa kitendo cha timu hiyo kushuka daraja, licha ya kubakiwa na michezo mitatu kabla ya kumalizika kwa msimu huu wa 2024/25.

    CABAYE Pict
  7. Simba chupuchupu, mwamuzi awa gumzo KMC Complex

    SIMBA imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mashujaa katika mechi iliyojaa matukio ya utata ikiwamo refa Kefa Kayombo kutoka Mbeya kuweka rekodi ya kuongeza dakika 15 ikiwa ni muda mrefu katika...

    MWAMUZI Pict
  8. JKU kiroho safi kwa Yanga SC

    KOCHA wa timu ya JKU, Haji Ali Nuhu amekubali matokeo ya kulikosa taji la Muungano walililolipigia hesabu mapema, lakini akiwapongeza wachezaji wa timu hiyo kwa kujitoa na kuonyesha kiwango...

    JKU Pict
  9. Ronaldinho, Kaka kukipiga Zanzibar

    MASHABIKI wa soka Zanzibar na Afrika kwa ujumla, wakae tayari kushuhudia tukio la Kihistoria litakalofanyika Julai 27, 2025, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, kupitia “The Match of the Legends”...

  10. PRIME Mzimu wa RS Berkane bado mtihani kwa Fadlu

    MIAKA mitatu iliyopita, Fadlu Davids alipitia moja ya siku zenye maumivu kwenye taaluma yake ya ukocha. Mei 20, 2022, akiwa msaidizi wa Mandla Ncikazi katika kikosi cha Orlando Pirates...

    SIMBA Pict
Previous

Page 6 of 106

Next