VIDEO: Watu 12 washikiliwa sakata la kutekwa Mo Dewji Mapema leo asubuhi Mambosasa alitaja idadi ya wafanyakazi watatu wa hoteli hiyo ndiyo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.
Mbilinyi, Kidedea kila mtu atamani kumtoa nungu mwenzake Mabondia hao walitamba kila mmoja akidai atashinda pambano hilo na kuwaomba mashabiki wake wajitokeze kwa wingi kumuunga mkono.
Xavi Simons aona mwezi Tottenham Hotspur ALIYEWAHI kuwa kocha wa Brentford, Thomas Frank, alipata ushindi dhidi ya klabu yake ya zamani baada ya Tottenham Hotspur kukatiza mwendo wa mechi tano bila ushindi kwa kuchukua pointi tatu...
Saka amchumbia mrembo Tolami BUKAYO Saka amethibitisha kumchumbia mpenzi wake wa siku nyingi, mrembo Tolami Benson baada ya kuposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Azam FC yashusha vichwa viwili matata BODI ya Azam Football Club imemtangaza rasmi Octavi Anoro (42), raia wa Hispania, kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu hiyo, kwa mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2027.
Roque avunja ukimya dili la kurudi Ulaya NYOTA anayewaniwa na klabu za Man Utd na Chelsea, Vitor Roque amethibitisha mipango yake ya kutaka kurudi Ulaya.
Kounde, Balde waiwahi Atletico Madrid Wachezaji hao ni Jules Kounde, Alejandro Balde na Frenkie de Jong.
Evra aishangaa CAF, asema imeshusha heshima ya soka la Afrika Gwiji wa soka wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal, Patrice Evra, amemwaga povu zito kufuatia uamuzi wa CAF wa kuivua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuipatia Morocco.
Kombe la Dunia 2026, ombi la Iran lawekwa 'kapuni' Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) limepiga chini ombi la Iran la kutaka kucheza mechi zake za Kombe la Dunia 2026 nchini Mexico badala ya maeneo yaliyopangwa awali.
Robertson, Liverpool wamalizana England HABARI hii inaweza kutafsiriwa tofauti na mashabiki wa Liverpool, kwani inaashiria mwisho wa enzi ya mmoja wa wachezaji muhimu zaidi kwa mafanikio ya hivi karibuni, Andy Robertson.