Simba icheki na mashine hizi! KLABU ya Simba kupitia pendekezo la kocha wao, Sven Vandenbroeck eneo la beki wa kati nalo limeguswa kwa ajili ya kupatikana mchezaji ambaye atakwenda kuwa msaada kwa wakongwe Erasto Nyoni na...
Andre Marriner : Mwamuzi aliyetibua mechi ya 1,000 ya Arsene Wenger MACHI 22, mwaka 2014 ikiwa imepita takribani miaka sita sasa kuna mauaji yalitokea kwenye Uwanja wa Stamford Bridge pale jijini London. Ndio, ilikuwa siku muhimu yenye kumbukumbu kwenye soka...
Hatma ya Morrison, Mkude mwezi huu KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), mpaka sasa inasubiriwa kutoa uamuzi wa wachezaji wawili pamoja na viongozi watano waliopelekwa kwenye kamati hiyo kutokana na madai ya...
Azam yabanwa dakika 45 KOCHA wa Azam Fc, Aristica Cioaba amefanya marekebisho katika kikosi chake maeneo manne kwenye mchezo wao wa leo Jumamosi unaonedelea Uwanja wa Uhuru jiji Dar es Salaam dhidi ya Alliance ya...
Waarabu waweka mzigo pambano la Fury, Joshua KUDADADEKI! Umesikia mzigo ambao Waarabu wa Saudi Arabia wameweka mezani kwa ajili ya pambano la Tyson Fury dhidi ya Anthony Joshua au Deontay Wilder? Ni kufuru.
Ronaldo, Neymar walivyochangia timu zao pesa ndefu za usajili HAKUNA klabu inayotaka kuuza wachezaji wao bora. Lakini, wakati mwingine inakuwa haina ujanja, lazima litokee hilo.
MAJONZI : Mastaa wanavyomlilia Kobe Bryant GWIJI wa mpira wa kikapu, Kobe Bryant na moja ya mabinti zake walikuwa miongoni mwa watu tisa walioawa kwenye ajali juzi Jumapili wakati helikopta yao ilipogonga mlima huko Calabasas, California,...
Ukungu chanzo cha ajali iliyochukua maisha ya Kobe Bryant Bryant, bingwa mara tano wa NBA, aliitumikia LA Lakers kwa maisha yake yote ya mchezo wa kikapu na kuhesabika kama mmoja wa wachezaji waliofanya makubwa kwenye historia ya mchezo huo.
Aubameyang akiondoka kwenda Barcelona, hawa wanakuja Arsenal kupiga mzigo BARCELONA imetangaza wazi kwamba inahitaji straika mpya ndani ya dirisha hili la uhamisho wa Januari.
Yanga walibugi hapa, Azam walikuwa watamu MWANZO si mzuri kwa kocha mpya wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymeal baada ya kupoteza mechi mbili za kwanza za Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar na Azam Fc, huku akiwa na kibarua kingine kesho...