Dolly Parton afariki dunia akiwa na miaka 80 Nguli wa muziki wa country duniani, Dolly Parton amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80.
Mexime atajwa kuchukua mikoba ya Ndayiragije TRA TRA United imeachana na Kocha wake Mkuu, Etienne Ndayiragije, uamuzi uliotangazwa jana, Jumatatu, Septemba 7, 2026 saa siota usiku.
Mbio za Pursuit kushika kasi Dar es Salaam MBIO za Baiskeli za Pursuit zimetaja zawadi kwa washindi wa makundi tofauti zitakazofanyika jijini Dar es Salaam, Septemba 27,2026.
EPL yashauriwa kuanzisha 'Play-off' za kushuka daraja LIGI Kuu England inapaswa kuanzisha mechi za mchujo (play-off) za kushuka daraja ili kurudisha utaratibu uliowahi kuwapo miaka ya nyuma na hivyo kuifanya kuwa bora zaidi kwa kuwa mara tu baada ya...
Devota Kihwelo: Nilisajiliwa kwa jezi ya Chelsea Katika tasnia ya habari nchini, jina la Devotha Kihwelo limejijengea heshima kama mwandishi shupavu wa habari za uchunguzi na michezo.
KISIWA CHA MAUTI - 7 nilikuwa mwandishi wa Gazeti la Kumekucha, polisi wanaweza kufika ofisini kwetu. Sasa niende wapi? Nikaendelea kujiuliza. Nilikuwa nimechafuka na sikuwa nimeoga. Mkono wangu ulikuwa na...
Muacheni Sanchez aishi maisha anayoishi NIKIWA nimejituliza zangu kwenye kochi kuu kuu, huku mkononi nimeshikilia kitabu cha The Spy Who Loved Castro, kilichoandikwa na mwandishi pekee wa kike niliyewahi kuelewa thamani ya vidole...
WCB wafunguka ishu ya Diamond kupigwa chupa kupanda jukwaani ilikuwa Jumamosi, lakini kutokana na kunyesha kwa mvua kubwa muda ambao msanii wetu alipaswa kupanda jukwaani ilishindikana,” “Kulikuwa na wasanii wengine wa nchini humo...
Klabu za England zinavyopiga pesa udhamini wa jezi WADHAMINI wa Manchester United kwenye jezi zao, Chevrolet bado wanashika namba moja kwa kutoa mkwanja mrefu kwenye Ligi Kuu England kwa mujibu wa mwandishi wa habari Alex Miller.