Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Mitambo ya fedha

    SOKA ni biashara na biashara siku zote ni matangazo. Dirisha la usajili Tanzania Bara limefungwa rasmi juzi Alhamisi usiku, huku baadhi ya klabu zikihitimisha kwa kusajili nyota mbalimbali wenye...

  2. Simba yanunua bao la Yanga

    KUNA mechi moja kama unaikumbuka ilichezwa Oktoba 2013 pale Taifa baina ya Yanga na Azam kwenye Ligi Kuu Bara na ikamalizika kwa Azam kushinda mabao 3-2. Hiyo mechi iliwapa cha kuongea sana...

  3. Simba kufanya maamuzi magumu

    CCM ilifanya maamuzi magumu kulitaka jina la Edward Lowassa. Naye Waziri Mkuu huyo mstaafu pia alifanya maamuzi magumu kuhama CCM na kutua Chadema na Chadema pamoja na Ukawa walifanya maamuzi...

  4. Mitihani mitano ya Mzungu wa Simba

    KOCHA mkuu wa Simba, Dylan Kerr, ana changamoto kubwa visiwani hapa, kazi yake si rahisi hata kidogo.

  5. Ajibu apewa kibarua kipya Simba

    BAADA ya Emmanuel Okwi kutimka zake kwenda Denmark, kocha wa Simba Dylan Kerr, ameamua kufanya jambo la maana mapema kwa kugawa jukumu alililokuwa akilifanya Mganda huyo kwa mzawa Ibrahim...

  6. HAPAPITIKI KIRAHISI : Angalia safu za viungo wa timu hizi za Ligi kuu

    YANGA ina safu laini zaidi ya kiungo ukilinganisha na Azam na Simba. Timu hiyo imeimarika zaidi katika safu ya ushambuliaji na ulinzi lakini katikati bado ni shida.

  7. Imepania si mchezo

    BAADA ya kuchoshwa na kejeli zinazotolewa na watani wao wa jadi (Yanga) wanaowaita Wazee wa Mchangani, sasa Simba imezinduka. Imeamua kuweka kila kitu kando na kufanya jambo litakaloweza kuwapa...

  8. Simba: Tunao Kiiza, Ajibu tuwe na presha ya nini?

    MABAO matatu aliyotupia wavuni mshambuliaji mpya wa Yanga, Malimi Busungu kwenye michuano ya Kombe la Kagame kabla ya jana Jumapili, yameitetemesha Simba iliyo kambini visiwani hapa.

  9. Yanga yatinga robo fainali Kagame

    >KIMEELEWEKA Jangwani baada ya Yanga jana Ijumaa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMKM ya Zanzabir, na kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame huku ikipania ushindi zaidi...

  10. Kelele za Yanga sasa zawaamsha Simba

    KELELE za mashabiki wa Yanga juu ya nani acheze na nani akae benchi katika kikosi chao, zinaonekana kuwaamsha wachezaji wa Simba ambapo sasa vita kali imeibuka katika nafasi tano tofauti uwanjani...

Previous

Page 45 of 48

Next