England vs Argentina: FBI yaipa mechi hadhi ya hatari kubwa zaidi Kombe la Dunia 2026 POLISI nchini Marekani wameweka tahadhari ya kiwango cha juu kuelekea mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya England na Argentina utakaochezwa Jumatano kwenye Uwanja wa...
Haaland apokelewa, mzigo wazuo gumzo NYOTA wa Manchester City, Erling Haaland, amerejea nchini Norway akipokelewa kama shujaa baada ya kuiongoza timu yake kufika robo fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1998.
Argentina yajipa matumaini Kombe la Dunia 2026 VYOMBO vya habari nchini Argentina vinaamini nyota wa England, Jude Bellingham, huenda akawa na majeraha kabla ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Argentina.
Bingwa Wimbledon afungiwa miaka minne BINGWA wa Wimbledon wa mwaka 2023, Marketa Vondrousova, amefungiwa miaka minne kujihusisha na mchezo wa tenisi baada ya kukataa kufanyiwa kipimo cha dawa za kuongeza nguvu.
Man United ‘yamshusha’ Andrey Santos KLABU ya Manchester United imekamilisha usajili wa kiungo wa Brazil, Andrey Santos, kutoka Chelsea kwa dau la pauni 50 milioni.
Rekodi ya kipekee Lamine Yamal Vs Ufaransa UNAWEZA kusema Lamine Yamal ni kama tayari anajua jinsi ya kung’ara dhidi ya Ufaransa.
Mbappe, Yamal wabeba matumaini nusu fainali USIKU wa leo macho ya dunia yataelekezwa kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026, ambapo mabingwa wa zamani Ufaransa na Hispania watavaana katika mechi inayotarajiwa kuwa ya kiwango cha juu...
FA yatuliza hofu England ENGLAND ilikata tiketi ya kucheza nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuichapa Norway kwa ushindi wa mabao yaliyopatikana baada ya dakika za nyongeza katika mchezo uliochezwa kwenye joto kali...
Messi katika vita na rekodi ya Fontaine REKODI ya Just Fontaine ya kufunga mabao 13 katika Kombe la Dunia moja mwaka 1958 lililofanyika nchini Sweden ni ya kipekee. Lakini jambo la kushangaza zaidi ni kwamba hakufunga mabao hayo akiwa...
Vita ya miaka 20 kurejea nusu fainali Kombe la Dunia 2026 BAADA ya kusubiri kwa miaka 20, moja ya ushindani mkubwa na wenye historia ndefu katika soka la kimataifa unarejea tena huku England ikipambana na Argentina katika Uwanja wa Atlanta kuwania...