Ashley Young kustaafu soka mwishoni mwa msimu ALIYEKUWA nahodha wa Manchester United na winga wa zamani wa timu ya taifa ya England, Ashley Young, ametangaza rasmi kuwa atatundika daruga mwishoni mwa msimu huu, akihitimisha safari ya kipekee...
Arsenal, Mikel Arteta kuanza mazungumzo baada ya fainali UONGOZI wa Arsenal unajiandaa kufanya mazungumzo na kocha wao, Mikel Arteta, kuhusu mkataba mpya utakaosainiwa mwishoni mwa msimu huu, huku kukiwa na nia ya dhati ya kumfanya abaki klabuni hapo...
Messi afunguka ushindani na CR7 SUPATAA wa kimataifa wa Argentina, Lionel Messi amezungumza kuhusu "ushindani bora wa kimchezo" kati yake na nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo uliowashuhudia wawili hao waliotajwa kuwa wachezaji...
Kocha Madrid afunguka ishu ya Valverde, Tchouameni KOCHA wa Real Madrid, Alvaro Arbeloa amesema hatawasema vibaya wachezaji wake hadharani kufuatia ugomvi mkubwa uliotokea mazoezini kati ya Federico Valverde na Aurelien Tchouameni, lakini amekiri...
Reece, dada’ke ‘kuzeekea’ Chelsea AHODHA wa Chelsea, Reece James ameahidi kubaki muda mrefu zaidi baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka sita utakaomuweka Stamford Bridge hadi 2032, ambapo atakuwa na umri wa miaka 32.
Ishu ya majeraha Arsenal yamtesa Arteta KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta ameonekana kuchoshwa na wimbi la majeruhi linaloikumba timu hiyo, hali iliyomlazimu kuchukua hatua nzito na kuamua kumpa kazi mtaalamu maalum kuchunguza tatizo...
Salah: Henderson aagwe kwa heshima Anfield MSHAMBULIAJI wa Mohamed Salah ameibuka na ombi maalumu kwa mashabiki wa Liverpool kuhakikisha wanampa aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, Jordan Henderson, kwaheri ya heshima anayostahili...
Arteta: Bado tuna kazi kubwa kutwaa ubingwa EPL LICHA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, jana dhidi ya Newcastle na kukaa kileleni, Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesisitiza bado wana kazi kubwa ya kufanya ili kushinda taji la Lig Kuu England.
Gibbs-White aonyesha jeraha lake akimtaja mwenzake MORGAN Gibbs-White ametumia mitandao ya kijamii kuwashukuru mashabiki baada ya kupokea ujumbe mwingi wa pole kufuatia jeraha baya la kichwa alilolipata katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya...