Antony Joshua adaiwa kustaafu ngumi NDUGU wa Anthony Joshua anaripotiwa kufichua kuwa bondia huyo ambaye ni bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa juu mara mbili amestaafu rasmi ngumi baada ya ajali ya gari iliyosababisha vifo vya...
Arteta alitaka zaidi ya matatu Carabao Cup KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema amekwazika kwa timu yake kushindwa kufunga mabao manne katika mechi ya nusu fanali ya michuano ya Carabao Cup dhidi ya Chelsea iliyomalizika kwa kushinda...
Real Madrid ikimvutia waya Klopp, wanambeba JURGEN Klopp ametajwa kuwa kinara kwenye orodha ya makocha wanaopewa nafasi ya kupewa kibarua Real Madrid huku ripoti zikifichua gwiji huyo wa Liverpool yupo tayari kukubali kazi hiyo.
Man United, Baleba ni suala la muda tu NDO hivyo. Manchester United inajiamini zaidi kuhusu uwezekano wa kumsajili kiungo wa Brighton, Carlos Baleba, dirisha la usajili wa majira ya joto.
Senegal yabeba ubingwa Afcon 2025 Senegal imeichapa Morocco na kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya pili, lakini baada ya fainali hiyo kuchafuliwa na tukio la kuondoka kwa wachezaji wa Simba wa Teranga uwanjani wakati...
Mambo matano kufukuzwa Maresca ENZO Maresca ameondoka Chelsea baada ya matukio matano muhimu kusababisha kuvunjika kwa uhusiano wake na klabu hiyo.
Utabiri wa Opta wazua mjadala AFCON 2025 UTABIRI uliotolewa na mtandao wa kimataifa wa takwimu Opta Jumapili jioni umezua mjadala na mabishano makubwa kabla ya mechi za nusu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), baada ya kuzipa...
Zubimendi azidi kumvuruga Arteta MIKEL Arteta mara chache hukosa maneno, lakini anaishiwa na la kusema kuhusu Martin Zubimendi.
Kocha Spurs akalia kuti kavu, wakati wowote kitanuka MUSTAKABALI wa Kocha Thomas Frank katika kikosi cha Tottenham uko matatani baada ya mashabiki kutaka afukuzwe baada ya kipigo cha nyumbani cha mabao 2-1 kutoka kwa West Ham.
Kiroho safi, Maresca aacha mabilioni Chelsea KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca anadaiwa kuwa amekataa malipo ya mamilioni ya Pauni baada ya kuondoka Chelsea.