Damaro aitaka michuano ya kimataifa KIUNGO wa Singida Black Stars, Mohamed Damaro,22, anaamini klabu yake ina nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao, hasa Kombe la Shirikisho Afrika, endapo watamaliza nafasi ya...
PRIME Namba zaipa Simba bao 2 dhidi ya Al Masry SIMBA ina deni la kurudisha mabao mawili kisha kusaka la ushindi itakapocheza dhidi ya Al Masry ili kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
PRIME Mastaa hawa Simba washtuke mapema MWANZONI mwa msimu huu 2024-2025, Kocha wa Simba, Fadlu Davids alionekana kumpa nafasi ya kucheza kila mchezaji na kuna waliomshawishi kwa kuonyesha viwango vya kuisaidia timu. Hawa tayari wana...
PRIME Shughuli nzito Kwa Mkapa, hesabu za Fadlu ziko hivi KOCHA wa Simba SC, Fadlu Davids ameonyesha matumaini katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kupoteza ugenini kwa mabao 2-0 dhidi ya Al Masry.
Kapombe aitaka ndoo Afrika BEKI mahiri wa Simba, Shomary Kapombe ameweka wazi kwamba ndoto yake kubwa kwa sasa ni kutwaa ubingwa wa michuano ya kimataifa, iwe Ligi ya Mabingwa Afrika au Kombe la Shirikisho.
Ukizingua Singida BS, faini laki 5 KATIKA harakati za kuhakikisha nidhamu inaimarika ndani ya kikosi, uongozi wa Singida Black Stars umeweka utaratibu wa adhabu mbalimbali kwa wachezaji wanaokiuka misingi na taratibu za timu hiyo.
Sowah: Msimu huu navunja rekodi yangu INASIKITISHA. Ndivyo unavyoweza kusema kwa hali aliyonayo msanii wa Hip Hop, Chid Benz na hivi karibuni kujiingiza kwenye uraibu wa pombe kupindukia.
Mtihani wa Mangombe Tabora United KOCHA mpya wa Tabora United, Genesis Mangombe anakabiliwa na mtihani mgumu wa kuhakikisha timu hiyo inaendelea kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo baada ya kuondoka kwa Anicet Kiazayidi.
PRIME Kocha Yanga katika mtego wa rekodi KUNA rekodi mbili ziko ndani ya uwezo wa Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi lakini zina mtego.
Mambo 6 Singida, Yanga zikicheza Dak 57 UZINDUZI wa uwanja wa Singida BS ni tukio la kihistoria katika soka la Tanzania. Uwekezaji huu unaashiria maendeleo katika miundombinu ya michezo na ni hatua inayoweza kuwa chachu kwa klabu...