Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8845 results for Mwandishi :

  1. Msumbiji yashinda mechi ya kwanza ikiichapa Gabon

    MSUMBIJI imepata ushindi wa kibabe wa mabao 3-2 dhidi ya Gabon uwanjani Agadir na hivyo kuandikisha ushindi wao wa kwanza kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) na hivyo kujiweka...

    MSUMBIJI Pict
  2. Morocco, Misri zafunika AFCON 2025

    ACHANA na uwezo wa vikosi vyao katika michuano ya 35 ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 inayoendelea Morocco, lakini wenyeji pamoja na Misri wametajwa kama nchi zinazoanikiza kwa wingi...

    MANUFAA Pict
  3. Morocco haishikiki, Diarra atinga mtoano

    WENYEJI wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2025), Morocco wameibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Zambia na kumaliza vinara kwenye Kundi A huku ikimkaribisha mchezoni...

    MALI Pict
  4. Koulibaly: Siwezi kulinganisha AFCON na Kombe la Dunia 

    Beki na nahodha wa Senegal, Kalidou Koulibaly, amesema hawezi kufananisha hatua ya kufuzu Kombe la Dunia na kutwaa ubingwa wa AFCON, akisisitiza kuwa mashindano ya dunia yana uzito wa kipekee kwa...

    KOULLIBALY Pict
  5. YAS yadhamini Rombo  Marathoni 2025, yahamasisha utunzaji mazingira

    Kampuni ya Mawasiliano, Yas, imekuwa miongoni mwa wadhamini wa Rombo Marathon 2025, tukio lililoleta wanamichezo kutoka Tanzania na nje ya nchi pamoja, likilenga kuhamasisha michezo, mshikamano...

    ROMBO Pict
  6. Maumivu ya gharama EPL!

    MANCHESTER United imeingia gharama kubwa kwa wachezaji majeruhi katika kipindi cha misimu mitano iliyopita ikitumia Pauni 155 milioni, ikiwa ni kiwango kikubwa kuliko klabu nyingine yoyote kwenye...

  7. Nigeria, Misri kucheza mechi ya kirafiki leo

    Timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, itashuka dimbani leo Jumanne, Desemba 16, 2025 kuivaa timu ya taifa ya Misri, Pharaohs katika mechi ya kimataifa ya kirafiki kwa ajili ya kujiandaa na...

    MISRI Pict
  8. Dembele ndiye mchezaji bora wa mwaka wa Fifa

    STAA wa Paris Saint-Germain, Ousmane Dembele amechaguliwa kuwa Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Fifa kwa 2025.

  9. Graeme Souness: Manchester United wa kawaida sana

    MCHEZAJI wa zamani wa Liverpool, Graeme Souness amesema kuwa suala la Manchester United kumaliza ndani ya nafasi nne za juu na kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya bado ni ndoto kwani ni timu ya...

    MAN Utd
  10. Mkwanja waongezwa Kombe la Dunia 2026

    SHIRIKISHO la Soka la England pamoja na mashirikisho mengine yatakayoshiriki michuano ya Kombe la Dunia mwakani huko Marekani, Canada na Mexico sasa meno yote nje kutokana na kiasi kikubwa cha...

    MKWANJA Pict
Previous

Page 398 of 885

Next