Chelle: Tupo tayari kuikabili DR Congo Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria maarufu Super Eagles, Éric Chelle, amesema kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mechi ya fainali ya mchujo ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya DR Congo,...
Benn alipa kisasin kibabe, akimzima Eubank JR BONDIA Conor Benn amefanikiwa kulipa kisasi mbele ya mpinzani wake, Chris Eubank Jr. katika pambano la uzito wa middle, lililochezwa jana Jumamosi jijini London, England.
Okocha: Sina shaka na Super Eagles, itafuzu Kombe la Dunia 2026 Kiungo mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Austin Jay-Jay Okocha, amesema anaamini Super Eagles ina nafasi kubwa ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026.
Ishu ya ubingwa EPL, kompyuta imeganda kwa Arsenal KOMPYUTA janja bado imeitabiria Arsenal kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu mbele ya Manchester City.
Babu Ferguson akubali mziki wa Lammens SIR Alex Ferguson amesifu kiwango cha kipa Senne Lammens akisema anapiga kazi si mchezo na hivyo kujitengenezea nafasi ya kuanza golini kwenye kikosi cha Manchester United.
Sesko kukosa mechi kibao Man United STRAIKA wa Manchester United, Benjamin Sesko huenda akawa nje ya uwanja kwa takriban mwezi kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya goti huku jambo hilo likimshuhudia akikosa mechi kibao zaidi ya sita.
Beckham amtetea Carrick kupewa ukocha wa kudumu Man United GWIJI wa Manchester United, David Beckham, anaamini kocha Michael Carrick anastahili kupewa mkataba wa muda mrefu zaidi kwa sababu ya mambo saba.
Rodriguez ala umeme, ‘pufya’ yamponza BONDIA wa Mexico, Francisco Rodriguez Jr, amefungiwa kushiriki mchezo wa ngumi kwa miaka miwili kufuatia kukutwa ametumia dawa zilizopigwa marufuku (pufya) baada ya pambano lake dhidi ya Galal...