Hali ya hewa ni shida Kombe la Dunia HALI ya hewa imeendelea kuwa shida kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani baada ya kipute cha Boca Juniors na Auckland City kulazimisha kusimamishwa kwa muda.
Ni zamu ya ‘The Blues’ Kombe la Dunia la Klabu MCHAKAMCHAKA chinja, ndicho unachoweza kusema kuhusu kasi ya michuano ya fainali za Kombe la Dunia la Klabu, ambapo Chelsea itakuwa na kibarua kizito cha kukabiliana na straika wao wa zamani...
PRIME Gwiji kasema! Gyokeres ni wa Man United tu STRAIKA gwiji, Alan Shearer anaamini Viktor Gyokeres atasaini kuichezea Manchester United licha ya sakata lake la usajili kuonekana kuwa gumu.
Manchester United yatema kibao MANCHESTER United imethibitisha itawatema mastaa wake Christian Eriksen, Jonny Evans na Victor Lindelof kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya mikataba yao kumalizika.
Liverpool yajitosa kwa Gyokeres, Man United, Arsenal kazi ipo LIVERPOOL yaingia vitani na Man United na Arsenal kumnyatia Viktor Gyokeres baada ya ndoto za Alexander Isak kufifia
Esperance yazinduka, yavuna mabilioni, Bayern ikitinga 16 Bora CWC WAWAKILISHI wa Afrika katika fainali za Kombe Dunia la Klabu (CWC) 2025, Esperance ya Tunisia imezinduka kwa kupata ushindi dhidi ya Los Angeles ya Marekani na kuvuna mkwanja wa maana unaotolewa...
Santi Cazorla aibua shangwe akitimiza ndoto KIUNGO Santi Cazorla amekamilisha hadithi yake ya ndoto akiwa na Oviedo baada ya kufunga na kuwasaidia kupanda tena LaLiga.
SportPesa kuipa Yanga 21.7 bilioni Kama unadhani ndoa ya Yanga na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa itaishia njiani unakosea. Pande hizo mbili zimesaini mkataba mpya wenye thamani ya Sh21.7 bilioni.
Kagame Cup 2025 zawekwa Sh 814 Milioni ZAIDI ya Sh 800 Milioni zimewekwa katika michuano ya Kombe la Kagame 2025 inayotarajiwa kuanza kupigwa Septemba 2-15 kupitia mdhamini mpya aliyetangazwa asubuhi ya leo Alhamisi jijini Nairobi.
CAF yaiadhibu Kenya, yapunguza mashabiki Moi Kasarani Stori Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa adhabu ya kupunguzwa kwa idadi ya mashabiki katika Uwanja wa Moi Kasarani uliopo Nairobi, Kenya kutokana na kujirudia kwa matukio ya vurugu...