Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9795 results for Mwandishi :

  1. Canada yatinga 16 bora Sauzi ikishindwa kujishikilia Kombe la Dunia

    CANADA inakuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya dakika za jioni kuichapa Afrika Kusini bao 1-0.

  2. Brazil yaifuata Canada 16 bora Kombe la Dunia

    TIMU ya Taifa ya Brazil imefuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026, baada ya kuiondoa Japan ikiitandika kwa mabao 2-1 katika mechi mgumu ya hatua ya 32 bora iliyochezwa kwenye Uwanja wa NRG,...

  3. Nagelsmann akalia kuti kavu Ujeruman, Klopp akipigiwa chapuo

    KOCHA wa Ujerumani, Julian Nagelsmann ameanza kukabiliwa na presha ya kibarua chake kuota nyasi baada ya timu yake kutolewa na Paraguay kwa mikwaju ya penalti katika hatua ya 32 bora ya Kombe la...

  4. Arsenal yapoteza mtu nyuma ya Mikel Arteta

    KUNA mabadiliko mengine ya kiutendaji nyuma ya pazia katika timu ya Arsenal, huku msimu wa majira ya kiangazi wa kuondoka kwa baadhi ya wafanyakazi ukiendelea.

    ARSENAL Pict
  5. Kipigo chaivuruga Liverpool

    LONDON, ENGLAND: JAHAZI la majogoo wa jiji Liverpool limejikuta likizama zaidi baada ya kupokea kichapo cha mabao 4-2 dhidi ya Aston Villa juzi, Ijumaa kilichoibua tena maswali mazito kuhusu...

  6. Arbeloa amfagilia njia Mourinho 

    KOCHA wa muda wa Real Madrid CF, Alvaro Arbeloa amezua mjadala mpya baada ya kusema wazi kuwa kwa mtazamo wake kama 'Madridista' kocha bora zaidi katika historia ya klabu hiyo ni José Mourinho.

  7. Enzo Maresca kupokea kijiti cha Pep Guardiola Man City

    Manchester City inajiandaa kumtangaza kocha wa zamani wa Chelsea, Enzo Maresca, kama mrithi wa Pep Guardiola ambaye anaripotiwa kufikia uamuzi wa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu...

    ENZO Pict
  8. Pep akumbushia mkataba wake Man City

    KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola ametuma ujumbe mzito kwa wanaodhani anaweza kuondoka klabuni hapo hivi karibuni baada ya kukumbusha bado ana mwaka mmoja zaidi kwenye mkataba wake wa sasa.

    PEP Pict
  9. Mwenendo wa Spurs wamwibua Daniel Levy

    ALIYEKUWA mwenyekiti wa Tottenham Hotspurs, Daniel Levy, amezungumza hadharani kwa mara ya kwanza kuhusu klabu hiyo tangu alipoondolewa madarakani Septemba mwaka jana baada ya kudumu kwa zaidi ya...

    LEVY Pict
  10. Arne Slot akalia kuti kavu Liverpool

    TAARIFA zinasema kwamba, Liverpool inadaiwa kufikia uamuzi wa kumfuta kazi Arne Slot baada ya mashauriano na wachezaji wakubwa wa timu hiyo, kwa mujibu wa vyanzo vilivyo karibu na sakata hilo.

    SLOT Pict
Previous

Page 369 of 980

Next