Ninja ni Yanga tu Mwinyi Zahera asiukubali mziki wa Simba kwa sababu Kwann huyu kocha si mnafiki anasema ukweli ingawa wakati mwingine kauli zake hizo za kusema ukweli zinaweza kumweka matatani.
Yanga Princess yaisaka Simba Queens Tanzanite ilipanda msimu huu baada ya kushika nafasi ya pili katika Ligi Daraja la Kwanza kwa kufungwa katika fainali ya ligi hiyo na Yanga Princess iliyoshiriki pia ligi ya daraja la kwanza kwa...
Corona yawakutanisha Deo Kanda wa Simba SC na Shikhalo wa Yanga Wakati wakisalimiana Kanda alianza kumwelezea Shikhalo anayetokea Kenya kwamba katika mchezo baina yao uliopigwa Januari 4 na kumalizika kwa sare ya 2-2 kama isingekuwa kipa huyo basi timu yake...
Mo Dewji,Mkwabi mambo freshi KAMA kuna watu waliokuwa wakiamini Simba itayumba, pole yao kwani ule mzozo uliowachanganya mashabiki wa klabu hiyo, umekwisha kiulaini na sasa mabosi wa klabu hiyo ni kazi kwa kwenda mbele ili...
Mke wa King Majuto hajaonekana arobaini ya mumewe Wakati wa uhai wake King Majuto ameigiza katika filamu nyingi na wasanii tofauti akiwemo, Jacob Steven 'JB'.
Will Smith ajiondoa tuzo za Oscars baada ya kofi kwa Rock Will Smith amejiuzulu kutoka taasisi inayoandaa tuzo za wasanii wa filamu za Oscars, siku tano baada ya kumshambulia jukwaani mchekeshaji Chris Rock wakati tamasha hilo likirushwa duniani moja...
MTU WA MPIRA: Unamuacha Ntibazonkiza, unamsajili Kisinda? KAMA kuna kituko kingine kikubwa kimefanyika mwaka huu ni hiki hapa. Ni hiki cha Yanga kuachana na Saido Ntibazonkiza na kwenda kumsajili Tuisila Kisinda. Ulikuwa ni uamuzi wa ovyo kweli kweli.
Mwanaspoti lasepa na Simba, DR Congo Msafara wa Simba kuelekea DR Congo kuivaa AS Vita unaondoka leo saa 1.00 jioni lakini jambo la kufurahisha ni kwamba Mwanaspoti itakuwa 'live' kujulisha umma kila kinachojiri huko Kinshasa.
Rooney ataka Salah apigwe benchi LEJENDI wa Manchester United, Wayne Rooney amesema winga wa Liverpool, Mohamed Salah inatakiwa akae benchi kwa sababu kwa sasa hana msaada katika timu hiyo.
KIKAO KIZITO! Mastaa Liverpool wateta, wamwondoa Arne Slot STAA wa Liverpool, Cody Gakpo amefichua kuwa wachezaji wa Liverpool walifanya kikao cha dharura cha kuchanana ukweli siku ya Jumapili ikiwa ni katika juhudi zao za kuhakikisha wanarudi katika...