Ten Hag kaanzia alipoishia huko KOCHA, Erik ten Hag ameendelea alipoishia baada ya kukumbana na kichapo kwenye mechi yake ya kwanza kuinoa Bayer Leverkusen huku mbaya zaidi akipoteza mbele ya timu ya vijana.
Alonso anajua amtumie vipi Jude KOCHA Xabi Alonso amefichua mipango yake juu ya namna atakavyomtukia kiungo Mwingereza Jude Bellingham baada ya kutambulishwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid.
Yanga yalaani vitendo viovu walivyofanyiwa mashabiki wao fainali CAFCC Klabu ya Yanga imesikitishwa na kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa mashabiki wao katika mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho Afrika uliochezwa kwenye...
Mastaa wamwangukia Bruno Man United WACHEZAJI wa Manchester United wanadaiwa kumuomba kapteni wa timu hiyo, Bruno Fernandes abaki, baada ya ripoti kufichua kwamba staa huyo anaweza kuondoka katika dirisha hili kuhamia Saudi Arabia...
He! Arsenal hatarini kumaliza namba sita ARSENAL itamaliza msimu mikono mitupu, lakini baada ya kukomea kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia kipigo kutoka kwa Paris Saint Germain, kocha Mikel Arteta sasa atalazimika...
Ni wikiendi yenye utamu wake Ulaya MAMBO iko kwenye mchakamchaka wa Ligi Kuu za Ulaya, huku kipute cha kibabe zaidi kitakuwa cha El Clasico Jumapili wakati Barcelona itakapokuwa nyumbani na Real Madrid kwenye La Liga.
Bosi Man United ataka kupunguza wengine TAJIRI wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe anatarajiwa kumfuta kazi ofisa wa muda mrefu wa timu hiyo ikiwa ni katika harakati zake za kupunguza matumizi ya timu.
Spurs, Man United zapata matumaini BAADA ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupigwa juzi na jana, leo Europa League itaendelea katika hatua ya nusu fainali ambapo Manchester United itakuwa Hispania kuvaana na Athletic Bilbao, huku...
Barca bingwa LaLiga, Espanyol haijapenda BARCELONA imebeba ubingwa wa La Liga msimu huu baada ya kuichapa Espanyol na kufikisha pointi ambazo hakuna timu nyingine itazifikia kwenye mchakamchaka huo.
Simba kuzoa mabilioni fainali Shirikisho Afrika Simba imeandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutinga mara nyingi fainali za mashindano ya klabu Afrika baada ya jana, Aprili 28 kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya...