Simba Tanga wachangia damu WAKATI Simba ikizindua wiki ya tamasha la kila mwaka 'Simba Day' leo Jumatano katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Morogoro, mashabiki wa timu hiyo wa mkoani Tanga wanatarajia kuchangia damu kwa...
Arteta akipata hii timu mtaomba po! ARSENAL inaweza kutumia mamilioni ya pesa kwenye usajili wa dirisha hili la Januari na kumfanya kocha Mikel Arteta kuwa na kikosi kipya kabisa cha kwanza itakapofika mwishoni mwa mwezi huu.
Penati yampandisha mzuka Arteta KOCHA wa Mikel Arteta amesema penati ya kusawazisha ya Brighton iliyopigwa na Joao Pedro ni uamuzi wa ajabu kuwahi kuushuhudia katika maisha yake yote ya mpira wa miguu na kusisitiza kwamba...
Ligi Kuu Bara yasimama hadi Machi mosi, 2025 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza kuwa baada ya michezo iliyofanyika Desemba 29, 2024 ligi hiyo itasimama hadi Machi mosi itakaporejea kwa mzunguko wa 17.
Spurs yaichapa Liverpool nusu fainali ya kwanza Carabao Tottenham imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Liverpool katika nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Carabao iliyochezwa Uwanja wa Tottenham Hotspur usiku wa kuamkia leo Januari 9, 2025.
Potter atambulishwa West Ham, afunguka BAADA ya kukaa nje ya gemu kwa mwaka mmoja na miezi 10, hatimaye kocha wa zamani wa Chelsea na Brighton, Graham Potter amepata shavu la kuinoa West Ham United akichukua mikoba ya Julien Lopetegui.
Camara kazini kuivaa Taifa Stars Novemba 19 Kipa wa Simba, Moussa Camara ni miongoni mwa wachezaji 23 walioitwa katika kikosi cha Guinea kitakachocheza mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 dhidi ya DR...
PRIME Malone awagawa mabosi wa Simba BEKI wa Simba, Che Malone Fondoh, amezua jambo klabuni Msimbazi ambako mabosi wa klabu hiyo wamegawanyika pande mbili kuhusu ishu yake.
Zanzibar Heroes, Burkina Faso kitapigwa tena Mapinduzi Cup WENYEJI wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025, Zanzibar Heroes imetinga fainali kwa mbinde na sasa itakutana tena na Burkina Faso iliyowanyoa bao 1-0 katika makundi baada ya juzi usiku kuing’oa...
Yanga yaanza na kikosi cha mabao mengi KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic ameamua kuiwekea MC Alger kikosi cha maangamizi akianza na washambuliaji watatu ambao wamekuwa wapo vizuri katika kucheka na nyavu na kusaidia mashambulizi.