Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9779 results for Mwandishi :

  1. Yanga Day ya mfano

    KILELE cha tamasha la Yanga Day ni leo Jumapili kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na hitimisho lake ni mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya Yanga dhidi ya Les Aigles Du Congo.

    MFANO Pict
  2. Mo Salah aitwa mahakamani

    Nyota wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah, ameagizwa kufika binafsi mahakamani mwezi Septemba kufuatia mzozo wa madai ya malipo kati yake na aliyekuwa wakili wake.

    SALAH Pict
  3. Chelsea yamtaka John Stones

    CHELSEA imeingia katika mbio za kumsajili beki wa kimataifa wa England, John Stones, kwa uhamisho wa bure baada ya mkataba wake na Manchester City kumalizika mwishoni mwa Juni.

    STONES Pict
  4. Bellingham, Vozinha wastua Kikosi cha Dunia

    KIUNGO wa Real Madrid, Jude Bellingham, ndiye mchezaji pekee wa England aliyejumuishwa katika Kikosi Bora cha Kombe la Dunia 2026, kilichotangazwa na FIFA baada ya kumalizika kwa mashindano hayo.

    KIKOSI Pict
  5. Risasi zalindima mechi ya ndondo, Mmoja auawa sita wajeruhiwa

    Mechi ya soka ya mashabiki imegeuka kuwa tukio la kusikitisha baada ya watu wenye silaha kuwafyatulia risasi wachezaji na watazamaji, na kusababisha mtu mmoja kuuawa huku wengine sita wakijeruhiwa.

    RISASI Pict
  6. Mvua yatibua ratiba La Liga

    MVUA kubwa iliyonyesha jana Septemba 16, 2026 muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu Hispania maarufu La Liga kati ya Levante na Athletic Bilbao, ilifanya mtanange huo kuahirishwa.

    LA LIGA Pict
  7. Watano kortini kuingiza gari la maiti uwanjani

    WANAUME watano wameshtakiwa baada ya gari la kubebea maiti pamoja na gari jingine kuingizwa kwenye uwanja wa mpira wa miguu na kufanya mizunguko kadhaa hali iliyosababisha mchezo uliokuwa...

  8. Fulham yaipiku Man United mikimbio

    MANCHESTER United imekabiliwa na maswali kuhusu kiwango cha juhudi za wachezaji wake baada ya takwimu kuonyesha kuwa walikimbia jumla ya kilomita 6.5 chini ya Fulham katika sare ya mabao 1-1 ya...

    MIKIMBIO Pict
  9. Kisa jota uwanja wafungiwa Saudi Arabia

    Klabu ya Al-Taawoun inayoshiriki Ligi Kuu Saudi Arabia, imeamriwa kucheza michezo miwili ya ligi nyumbani bila mashabiki baada ya wafuasi wake kumkejeli kiungo wa Al-Hilal, Ruben Neves, kuhusu...

    JOTA Pict
  10. Saddig Bey avuna mabilioni NBA

    NYOTA wa kikapu wa New Orleans Pelicans, Saddiq Bey, amesaini mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya dola milioni 56 (Sh.144 bilioni), utakaomuweka kwenye timu hiyo hadi msimu wa 2029-30.

    NBA Pict
Previous

Page 324 of 978

Next