Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9777 results for Mwandishi :

  1. Uwanja mpya wa Man United ni kizungumkuti

    MPANGO wa Manchester United wa kujenga uwanja mpya unakabiliwa na changamoto kubwa ambazo zinaweza kufanya gharama za mradi huo kupanda hadi kufikia Pauni 3 bilioni.

  2. John Obi: Arsenal inacheza ‘soka haramu’

    KIUNGO wa zamani wa Chelsea, John Obi Mikel ameishambulia vikali Arsenal akidai timu hiyo inacheza “soka haramu” na haistahili kuwa bingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

    New Content Item (1)
  3. Neto aomba radhi kwa kumsukuma 'ball boy'

    WINGA wa Chelsea, Pedro Neto ameomba radhi hadharani baada ya kumsukuma muokota mipira ‘ball boy’ wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSG katikati ya wiki hii.

  4. Partey akabiliwa na mashtaka mapya mawili ya ubakaji

    Thomas Partey, mchezaji wa zamani wa Arsenal, anatarajiwa kupinga mashtaka mawili mapya ya ubakaji yaliyowasilishwa dhidi yake, mahakama imeelezwa.

  5. Maguire mambo magumu Man United

    MUSTAKABALI wa beki Harry Maguire katika kikosi cha Manchester United bado haujulikani, huku ikiwa imebaki miezi michache kabla ya mkataba kwisha.

  6. Joey Barton ashtakiwa tena kwa kujeruhi

    BAADA ya kuandamwa na mikasa mbalimbali ya nje ya uwanja iliyomfikisha mahakamani, nyota wa zamani wa kimataifa wa England, Joey Barton, 43, ameshtakiwa kwa kosa la kujeruhi kwa nia baada ya...

  7. Liverpool yaitisha chelsea kwa Alonso

    WANAKABANA koo. Ndiyo, kila timu inataka huduma ya Xabi Alonso kwenda kufundisha vikosi vyao na kinachosubiriwa ni kuona nani mwenye kisu kikali atakayekula nyama.

  8. Nainggolan amshambulia Scott McTominay, amuita mchezaji wa kawaida Italia

    KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Scott McTominay amezua mjadala nchini Italia ambako amekosolewa na staa wa zamani wa Serie A, Radja Nainggolan akimtaja Mwingereza huyo kuwa mchezaji wa...

  9. Lewandowski ataka pointi 100 Barcelona

    MSHAMBULIAJI wa FC Barcelona, Robert Lewandowski, amewapa changamoto wachezaji wenzake kuhakikisha wanafikia alama 100 katika msimamo wa La Liga baada ya ushindi muhimu dhidi ya CA Osasuna.

    LEWANDO Pict
  10. Kocha Spurs aionya West Ham United

    KOCHA wa Tottenham, Roberto De Zerbi ameionya West Ham United kuwa klabu yake ipo tayari kupambana kuhakikisha wanabaki Ligi Kuu England ikiwa ni baada ya kupata ushindi wao wa kwanza wa ligi...

    DE ZERBI Pict
Previous

Page 315 of 978

Next