Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9777 results for Mwandishi :

  1. Ronaldinho abariki jezi namba 10 ya Yamal

    GWIJI wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Ronaldinho Gaucho ameunga mkono kitendo cha kinda wa Barcelona, Lamine Yamal kurithi jezi namba 10 ya Lionel Messi, akisisitiza dogo anastahili.

  2. Slot ashangaa PSG kuwafunga mawili tu

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amekiri timu yake ilikuwa na bahati kutopoteza kwa mabao mengi zaidi dhidi ya Paris Saint-Germain baada ya kuchapwa 2-0 katika robo fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya...

    SLOT Pict
  3. Wanamichezo walivyong’ara Tuzo za BMT

    TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT), ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimefanyika usiku wa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki uliopo jijini...

    TUZO Pict
  4. Rooney ataka kocha mpya atajwe haraka

    NYOTA wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amewataka mabosi wa timu hiyo kufanya maamuzi ya haraka kuhusu kocha mkuu wa kudumu kabla ya dirisha la usajili wa majira ya kiangazi halijaanza...

  5. Steve McManaman: Diego Simeone ni ‘ndumilakuwili’ hana nidhamu

    GWIJI wa soka na mchambuzi wa michezo, Steve McManaman, amemlipua kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone, akitaja tabia yake kuwa ni ‘fedheha’ kufuatia matukio yaliyotokea katika sare ya 1-1...

    SIMIONE Pict
  6. Ushauri wa Gerrard kwa Arteta, akimsifia Declan Rice

    GWIJI wa Liverpool, Steven Gerrard, amemshauri kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, kuanza na Eberechi Eze na Bukayo Saka kwenye mechi ya mkondo wa pili wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...

    USHAURI Pict
  7. Mikel Obi ampigia chapuo Filipe Luís Chelsea, amkataa Fabregas

    NAHODHA wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, John Mikel Obi, ameushauri uongozi wa klabu ya Chelsea kumteua Filipe Luís, kuwa kocha mpya wa timu hiyo ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Liam...

    OBI Pict
  8. Ronaldo azungumza kwa mara ya kwanza ishu ya kustaafu

    GWIJI wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, amekiri kwa mara ya kwanza kuwa mwisho wa safari yake ya soka umeanza kukaribia, huku akisisitiza kuwa bado anafurahia kila dakika anayocheza uwanjani.

    RONALDO Pict
  9. Neymar achagua timu mbili fainali Kombe la Dunia 2026

    MSHAMBULIAJI wa Santos na Brazil, Neymar Jr amechagua nchi mbili ambazo angependa kucheza nazo katika fainali ya Kombe la Dunia 2026, ingawa hadi sasa hana uhakika wa kuchaguliwa kwenye kikosi...

    NEYMAR Pict
  10. Rudiger atuhumiwa kumpiga Alvaro Carreras mazoezini

    HALI ya sintofahamu ndani ya Real Madrid imezidi kuwa mbaya baada ya kufichuliwa kwa jina la mchezaji aliyedaiwa kupigwa na beki Antonio Rudiger katika ugomvi uliotokea mazoezini.

Previous

Page 313 of 978

Next