Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9777 results for Mwandishi :

  1. Kumbe Man United imemvutia waya Klopp

    NDO hivyo. Jurgen Klopp amekataa ofa kutoka Manchester United na pia angeweza kuwa kocha wa timu ya taifa ya England baada ya kuondoka kwa Gareth Southgate, anafichua wakala wake.

  2. Kuna mtu anaamini Mo Salah habaki

    SUPASTAA, Mohamed Salah anaendelea kuhusishwa na mpango wa kuondoka Liverpool wakati wa dirisha lijalo la majira ya kiangazi, licha ya kurejea kwenye kikosi cha kwanza cha miamba hiyo ya Anfield.

  3. Ronaldo amiliki timu Hispania

    SUPASTAA, Cristiano Ronaldo ameanza hatua zake za kwanza katika ulimwengu wa umiliki wa klabu za soka kwa kununua hisa asilimia 25 katika klabu ya Hispania, UD Almeria.

    RONALDO Pict
  4. Haaland ataja magwiji anaowaiga kupiga mabao

    STRAIKA la mabao, Erling Haaland amefichua supastaa Robin van Persie ni mmoja wa washambuliaji aliowafuatilia kwa karibu kwa ajili ya kujifunza na kukuza kipaji chake.

    HAALAND Pict
  5. Man City waambiwa Pep Guardiola apewe kazi mpya

    KOCHA Stuart Pearce amewaambia mabosi wa Manchester City kuhakikisha wanafikiria kumbakiza Pep Guardiola klabuni kama mkurugenzi wa michezo pale atakapoamua kuachia ngazi ya ukocha mkuu.

    MAN CITY Pict
  6. Mamadou Gaye awatuliza mashabiki Nigeria, aitaka FIFA kuamua

    MTAALAMU wa soka barani Afrika, Mamadou Gaye, amewaomba wadau wa soka kuendelea kuwa wavumilivu wakati Nigeria ikisubiri uamuzi kutoka FIFA katika kesi dhidi ya DR Congo inayodaiwa kukiuka...

    ONANA Pict
  7. Cornel amrithi Almas Kasongo TPLB

    ALIYEKUWA mkurugenzi wa Fedha wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Cornel Barnabas, ameteuliwa kuwa ofisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB).

    CORNEL Pict
  8. Morocco yashinikizwa kuwaachia waliohukumiwa AFCON 2025

    MAMIA ya wananchi nchini Senegal, wameingia mitaani katika Jiji la Dakar kwa lengo la kuishinikiza Serikali ya Morocco kuwaachia huru mashabiki 18 wa soka wa nchi hiyo wanaotumikia vifungo...

    SENEGAL Pict
  9. Hali ya kiusalama Mashariki ya Kati yatishia mechi za Nigeria kufutwa

    MECHI za kimataifa za kirafiki kati ya timu ya taifa ya Nigeria maarufu Super Eagles dhidi ya Iran na Jordan zilizopangwa kuchezwa mwezi huu, huenda zikafutwa kutokana na hali mbaya ya kiusalama...

    NIGERIA Pict
  10. Planet, Bandari kazi ipo fainali Dunda Swish Basketball Tournament

    FAINALI ya kwanza ya Dunda Swish Basketball Tournament, inatarajia kufanyika keshokutwa (Jumapili) ikizikutanisha Bugando Planet na Bandari Mwanza, kwenye Uwanja wa Mirongo, Mwanza.

Previous

Page 311 of 978

Next