Wale wazee wa muvi hili hapa chimbo la maana EBWANAEE wikiendi ndo imeanza hivyo. Kwa wale wapenzi wa muvi, tuwe tunakutana hapa kila Ijumaa kupeana vituz.
Kisa McTominay... Scotland yamshukuru Jose Mourinho SCOTT McTominay amesubiri muda mrefu kabla ya kucheza mechi yake ya kwanza Manchester United chini ya kocha Jose Mourinho.
Manchester United sasa yatua kwa Aurelien Tchouameni MANCHESTER United imepanga kumsajili kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Aurelien Tchouameni, 25, katika dirisha lijalo la majira ya baridi au kiangazi.
Amorim: Ratcliffe ametupa mzuka KOCHA mkuu wa Manchester United, Ruben Amorim anaamini maneno ya bilionea Sir Jim Ratcliffe aliyosema kwamba ana imani na kocha huyo umeamsha morali mkubwa katika kikosi hicho cha Old Trafford.
Van Dijk ajifikiria upya hatima yake BEKI wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk ameripotiwa atafikiria hatima ya soka lake baada ya kuiongoza Uholanzi kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026.
Kisa Florian Wirtz, Wajerumani wamshutumu Mo Salah Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah, ametupiwa lawama na baadhi ya vyombo vya habari vya Ujerumani, vikidai anahusika na mwanzo mgumu wa Florian Wirtz katika klabu hiyo ya Anfiled.
New Caledonia, Jamaica kuamua DR Congo kushiriki Kombe la Dunia 2026 DR Congo itasubiri mshindi kati ya New Caledonia na Jamaica ili kucheza nayo katika mechi ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 kupitia mchujo wa mabara (inter-confederation play-offs).
Rooney awaweka Semenyo, Mbeumo, Gyokeres pamoja WAYNE Rooney amemtaja straika Viktor Gyokeres kwenye orodha ya mastaa wanaofanya vizuri kwenye Ligi Kuu England msimu huu licha ya kuwapo kwa maneno mengi kuhusu ubora wa mshambuliaji huyo wa...
Barca yampiga stop Lewandowski kufunga BARCELONA imeripotiwa kumwomba straika Robert Lewandowski asifunge tena mabao wakati wa msimu wake wa kwanza kwenye kikosi hicho cha La Liga.