Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

715 results for Nevumba Abubakar :

  1. Nyota Yanga Princess awasha moto Misri

    ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga Princess, Mkenya Janet Bundi anayekipiga NBE FC ya Misri amezidi kung'ara akiwa kwenye tatu bora za wafungaji bora nchini humo.

    KENYA Pict
  2. Mtanzania anyakua ndoo Misri

    WINGA wa FC Macar, Mtanzania Hasnath Ubamba amebeba ubingwa wa Ligi ya Wanawake nchini Misri ukiwa wa pili mfululizo kwa nyota huyo.

    NDOO Pict
  3. Kisinda ampa wakati mgumu Waziri JR Iraq

    WAKATI Simon Msuva akiendelea kukiwasha Ligi Kuu ya Iraq akiwa na Al Talaba, Mtanzania mwenzake, Wazir Jr Shentembo anayekipiga Al Mina'a mambo yanaonekana ni magumu tangu alipojiunga na chama hilo.

    WAZIRI Pict
  4. Samatta bado moja kurudi Ligi ya Mabingwa Ulaya

    NAHODHA wa timu ya Taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta anasubiri ushindi wa mechi moja ili kuweka rekodi ya kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili katika historia ya maisha...

    SAMATTA pict
  5. Dakika 190 za Opah Clement Mexico

    DAKIKA 190 alizocheza Mshambuliaji wa Kitanzania, Opah Clement kwenye kikosi cha FC Juarez ya Mexico zimemfanya aendelee kuaminiwa na kocha wa timu hiyo, Oscar Fernandez.

    OPA Pict
  6. Rekodi nyota wa Ligi Kuu walivyoipeleka Tanzania Kombe la Dunia Futsal

    TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Futsal imeweka historia ya aina yake baada ya kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Dunia 2025, ikiwa ni moja ya mataifa mawili tu, pamoja na Morocco...

  7. AFCON U-20: Ngorongoro Heroes kujiuliza kwa Sierra Leone

    BAADA ya Timu ya taifa ya vijana 'Ngorongoro Heroes' kupoteza mechi ya kwanza ya kundi A kwenye kampeni za kusaka ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 20 (Afcon U-20), leo Mei 3...

    NGORONGORO Pict
  8. PRIME Ahadi ya Camara Simba CAF

    KIPA namba moja wa Simba, Mousa Camara amewaahidi mashabiki wa klabu hiyo jambo moja kuelekea mechi ya fainali ya Shirikisho dhidi ya RS Berkane.

    New Content Item (1)
  9. Nyoni aiota Top 5, Kabunda amtaja Mgunda

    WAKATI nyota mkongwe wa Namungo, Erasto Nyoni akiweka bayana anavyotamani kuona timu hiyo ikipambana ili imalize katika Tano Bora ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji anayekipiga kwa Wauaji wa Kusini...

    NYONI Pict
  10. Clara Luvanga namba zimempa heshima Saudia

    KAMA kuna msimu bora kwa mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayeitumikia Al Nassr ya Saudia basi ni huu.

Previous

Page 4 of 72

Next