Lando Norris awatega Mclaren KAMA sio kuangushwa na gari za kampuni yake McLaren, dereva Mwingereza, Lando Norris anaamini angefanya vyema zaidi ya ilivyotokea kwenye mbio mbili zilizopita hususan ile ya mwisho ya Ubelgiji.
Crawford dakika za jioooni kwa Madrimov PAMBANO lililopita la bondia Terence Crawford dhidi ya Israel Madrimov lilikuwa la kwanza kwa Crawford kushindwa kumwangusha mpinzani wake, baada ya kumaliza raundi zote na kushinda kwa pointi za...
Lebron, Curry wamsuta Ant Man JAMAA amekubali. Kabla ya kuanza kwa michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa, nyota wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Anthony Edwards 'Ant Man' alitoa kali, kwamba wachezaji wenzake wa timu ya...
Djokovic bado hajamaliza HAIKUWA rahisi kutimiza ndoto ya muda mrefu, hadi alipomshinda mpinzani wake mkubwa kwa sasa kwenye tenisi, Carlos Alcaraz katika fainali ya Olimpiki Ufaransa.
Mastaa NBA walivyoibeba Olimpiki 2024 VITA ya mashindano ya Olimpiki kusaka medali ya dhahabu ya mchezo wa kikapu jijini Paris, Ufaransa inaendelea kuwa moto upande wa makundi, ambapo wababe wawili walioupiga mwingi ni kutoka ukanda...
Usky ampigia hesabu mpya Joshua BONDIA bingwa wa kwanza asiyepigika (undisputed) karne ya 21, Oleksandr Usyk hana wasiwasi na pambano la marudiano dhidi ya Tyson Fury, kiasi cha upande wake kuanza kupanga mkwanja gani atavuna...
Curry ammwagia maua Lebron WAKATI kwenye soka kukiwa na mastaa wawili wakubwa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao wamewagawa mashabiki wa soka duniani kutokana na ubora wa muda mrefu na rekodi kibao walizoweka, ndivyo...
Bronny aanza mambo Lakers BRONNY James, mtoto wa supastaa wa NBA anayekipifa Losa Angeles Lakers, LeBron James, ameanza kuzima kelele za baadhi ya waliokuwa wanaponda kuhusu uwezo wake kama ataweza kucheza na kung’ara...
Usajili unaobamba NBA, Lakers pagumu DIRISHA la usajili wa wachezaji kutoka timu moja kwenda nyingine katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), unaendelea ambapo tayari kuna majina makubwa yameshahamishia ustaa katika timu mpya huku...
Lebron na mwanaye waweka rekodi mpya NBA REKODI mpya imewekwa kwenye mchezo wa mpira wa kikapu duniani, na hii imetokea kwenye Ligi ya NBA, baada ya juzi Ijumaa, Los Angeles Lakers kumtambulisha kikosini mtoto wa nyota wa timu hiyo...