Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

133 results for DK. SHITA SAMWEL :

  1. Sababu za hasira, vurugu katika dabi

    SIKU zijazo mashabiki wa soka nchini watakuwa katika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga inayotarajiwa kupigwa Oktoba 19. Dabi ya Kariakoo hubeba hisia mbalimbali...

  2. Exclusive... HADHARA Fundi wa danadana  anayeteseka kwa maradhi

    UMAARUFU sio utajiri na hakuna uhusiano kabisa, ukitaka kuamini hilo aliyekua Rais wa Uruguay, Jose Mujica alijulikana kama rais maskini zaidi duniani, licha ya kushika nyadhifa za juu za uongozi.

  3. Kwanini ngumi hii ilimkalisha Joshua?

    WIKIENDI iliyopita ilianza vizuri kwa wapenda burudani mara baada ya kuangalia mechi ya Yanga iliyoshinda mabao 6-0 dhidi ya CBE SA ya Ethiopia, huku Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli kwa mabao 3-1.

  4. Odegaard Injini ya Arsenal yenye shida hii

    JUMAPILI jioni iliyopita katika Ligi Kuu England (EPL), Kaskazini mwa Jiji la London kulikuwa dabi kali ya wapinzani wa jadi kati ya Tottenham Hotspur na Arsenal.

  5. SPOTI DOKTA: Muller mti mkavu usiochoka

    MOJA ya sifa kubwa ya miaka mingi kwa mchezaji wa soka kutoka Ujerumani ni kuwa imara kimwili, nguvu na akili wakati wa kucheza soka.

  6. SPOTI DOKTA: Hivi ndivyo ilivyo saratani iliyomuua Eriksson

    KOCHA wa zamani wa timu ya Taifa ta England, toka nchini Sweden Sven-Goran Eriksson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 baada ya kuugua saratani ya kongosho kwa muda mrefu.

  7. SPOTI DOKTA: Hivi ndivyo ilivyo saratani iliyomuua Eriksson

    KOCHA wa zamani wa timu ya Taifa ta England, toka nchini Sweden Sven-Goran Eriksson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 baada ya kuugua saratani ya kongosho kwa muda mrefu.

  8. SPOTI DOKTA: Ligi imeanza na majeraha ya Kigimbi hayakosi

    HIVI sasa Ligi mbalimbali duniani zimeanza kutimua vumbi katika viwanja vya soka ikiwamo hapa nyumbani Ligi Kuu Bara iliyoanza wiki iliyopita.

  9. SPOTI DOKTA: Simba vs Yanga, haya yanaweza kutokea DABI Mkapa

    Kesho ikiwa ni Sikukuu ya Nane Nane, pia kuna mpambano makali wa watani wa jadi, Simba na Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es...

  10. SPOTI DOKTA: Kimbia ukate mafuta mwilini

    KUMEKUWAPO na matukio mbalimbali ya mbio za hisani, ambayo yamekuwa yakitumika kuhamasisha mazoezi kama nyen-zo ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza maarufu kitabibu kama NCD.

Previous

Page 4 of 14

Next