Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

53 results for Bertha Ismail :

  1. Dakika 120 zashindwa kutoa bingwa wa ASFC

    Dakika 120 zimekamilika katika mchezo wa Ligi ya Kombe la Shirikisho bila Yanga Wala Coastal kuwa na uhakika wa kubeba ndoo baada ya kutoka sare ya 3-3.

  2. Nabi ampa jukumu zito Mayele

    Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amempa jukumu zito mshambuliaji wake Fiston Mayele kuhakikisha kuwa anaiongoza timu kutwaa kombe la Shirikisho la Azam.

  3. Fainali Yanga, Coastal kuhamishwa Arusha yasipofanyika haya...

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limewapa siku saba wamiliki wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kukamilisha marekebisho ili mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) inayotarajiwa...

  4. Ummy bingwa michuano ya baiskeli Arusha

    Mwanadada Ummy Eddy amefanikiwa kukata utepe wa ushindi katika michuano ya "Burka Mountain bike" baada ya kumaliza kilomita 35 akitumia saa 1:02.

  5. Andrew afanya kweli michuano ya baiskeli Arusha

    Mwendesha baiskeli chipukizi kutoka Arusha Andrew Massawe amefanikiwa kuibuka mshindi katika mashindano ya mchezo huo wa "Burka Mountain bike" yaliyomalizika asubuhi hii mkoani Arusha.

  6. Giniki afuzu kushiriki mbio za dunia

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Emanuel Giniki Gisamoda amefanikiwa kufanya kweli huko nchini Uswis baada ya kushinda mbio za Generali Geneve marathon zilizomalika leo.

  7. Giniki hayupo kambini, sababu ni hii

    SHIRIKISHO la Riadha nchini (RT) limetoa sababu za kwa nini mwanariadha, Emmanuel Giniki hayuko katika kambi ya Taifa inayojiandaa na michuano ya Jumuiya ya Madola. Kambi hiyo yenye jumla ya...

  8. Giniki atwaa dhahabu Poland, avunja rekodi

    Mwanariadha nyota wa Tanzania, Emmanuel Giniki Gisamoda ametwaa medali ya dhahabu na kuvunja rekodi nchini Poland. Giniki ametawazwa kuwa bingwa mpya wa mbio ya nusu marathoni ya Warsaw...

  9. Sheikh Amri Abeid kufumuliwa upya

    CHAMA Cha Mapinduzi ambao ndio wamiliki wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kimesema kinatarajia kutumia muda wa miezi mitatu kuufunga uwanja wao kwa ajili ya kufumua na kuotesha nyasi mpya za kisasa...

  10. Simbu aingia kumi bora RAK Half Marathon

    Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alfonce Felex Simbu amefanikiwa kuingia katika nafasi kumi bora katika michuano ya kimataifa ya RAK Half Marathon yaliyofanyika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu...

Previous

Page 4 of 6

Next