Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Ummy bingwa michuano ya baiskeli Arusha

Ummy bingwa michuano ya baiskeli Arusha

ARUSHA. Mwanadada Ummy Eddy amefanikiwa kukata utepe wa ushindi katika michuano ya "Burka Mountain bike" baada ya kumaliza kilomita 35 akitumia saa 1:02.

Mashindano hayo yaliyomaliza Leo jumapili katika viwanja vya mashamba ya Burka vilivyoko pembezoni mwa jiji la Arusha, Edy alifanikiwa kumaliza wa kwanza akiwaacha wenzake 12 nyuma.

Mbali na edy, nafasi ya Pili imechukuliwa na Glory Gift aliyetumia saa 1:05 kumaliza mbio hizo huku nafasi ya tatu akimaliza Genevieves Geneve aliyetumia saa 1:08.

Akizungumzia Ushindi wake Gift alisema kuwa alitarajia ushindi huo ambao amefanyia mazoezi kwa mda Sasa.

"Mara nyingi Mimi nafanya mazoezi ya baiskeli kwa ajili ya afya yangu, kila siku lazima niendeshe kilomita kadhaa kwa mujibu wa siku hiyo nilivyojiwekea , hivyo haya mashindano inakuwa sehemu ya program yangu tu ndio maana nadhani nimeshinda kutokana na mwili imezoea baiskeli"