Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8766 results for Mwandishi :

  1. Mbio za ubingwa EPL… Ukijichanganya, unachanganyikiwa!

    MBIO za ubingwa zina kila dalili ya kuwa za kihistoria. Na jambo ambalo sasa liko wazi kabisa ni kwamba Manchester City iko tayari kupambana na Arsenal hadi hatua ya mwisho.

    MBIO Pict
  2. Crouch, Keown wabishana kuhusu Eze wa Arsenal

    NOMA sana. Staa, Eberechi Eze ameambiwa kuwa Mikel Arteta “hamkubali sana” kufuatia kikosi hicho kubanwa na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu England uliofanyika Alhamisi iliyopita.

  3. Spurs yamchukua Tudor aokoe jahazi

    TOTTENHAM Hotspur imemgeukia Igor Tudor kuwa kocha wa muda hadi mwisho wa msimu.

  4. Barca ikimtosa Rashford fresh tu

    NDO hivyo. Barcelona haitatozwa faini yoyote ya kifedha iwapo itaamua kusitisha mpango wa kumsajili jumla mshambuliaji Marcus Rashford mwishoni mwa msimu huu wakati mkopo wake utakapofika tamati.

  5. Slot aweka wazi hatma ya Ibrahima Konate

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefunguka kuhusu mustakabali wa beki kisiki wa timu hiyo raia wa Ufaransa, Ibrahima Konate ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu.

    KONATE Pict
  6. Wanamichezo walivyong’ara Tuzo za BMT

    TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT), ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimefanyika usiku wa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki uliopo jijini...

    TUZO Pict
  7. Rooney ataka kocha mpya atajwe haraka

    NYOTA wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amewataka mabosi wa timu hiyo kufanya maamuzi ya haraka kuhusu kocha mkuu wa kudumu kabla ya dirisha la usajili wa majira ya kiangazi halijaanza...

  8. Steve McManaman: Diego Simeone ni ‘ndumilakuwili’ hana nidhamu

    GWIJI wa soka na mchambuzi wa michezo, Steve McManaman, amemlipua kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone, akitaja tabia yake kuwa ni ‘fedheha’ kufuatia matukio yaliyotokea katika sare ya 1-1...

    SIMIONE Pict
  9. Ushauri wa Gerrard kwa Arteta, akimsifia Declan Rice

    GWIJI wa Liverpool, Steven Gerrard, amemshauri kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, kuanza na Eberechi Eze na Bukayo Saka kwenye mechi ya mkondo wa pili wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...

    USHAURI Pict
  10. Mikel Obi ampigia chapuo Filipe Luís Chelsea, amkataa Fabregas

    NAHODHA wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, John Mikel Obi, ameushauri uongozi wa klabu ya Chelsea kumteua Filipe Luís, kuwa kocha mpya wa timu hiyo ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Liam...

    OBI Pict
Previous

Page 292 of 877

Next