David Beckham uso kwa uso na Michael Jordan GWIJI wa England, David Beckham amekutana na shujaa wake wa mpira wa kikapu, Michael Jordan, wakati wa mapumziko visiwani Ibiza nchini Hispania, katika picha zilizowavutia mashabiki wa michezo...
Ushindi wa Anton Joshua ‘shaka tupu’ MCHAMBUZI maarufu wa michezo, Simon Jordan, ametia shaka ushindi wa Bondia Anthony Joshua dhidi ya Kristian Prenga, akidai kuna mambo "hayako sawa" kuhusu namna pambano hilo lilivyobadilika...
LeBron James abadili soko la NBA BAADA ya wiki kadhaa za tetesi na mijadala mikubwa, hatimaye nyota wa NBA, LeBron James amefanya uamuzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu duniani kote kwa kutangaza kujiunga na Philadelphia 76ers.
Tchouameni anaondoka, macho kwa Rodri KLABU ya Real Madrid imesema ipo tayari kwa ajili ya kumuuza kiungo wake Aurelien Tchouameni kwenye kikosi cha Manchester United, ambacho kimeshaonyesha nia ya kumtaka.
Bifu la Trump, Lebron limenoga RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameibua mjadala mkubwa baada ya kumshambulia nyota wa NBA, LeBron James, kwa kumuita " mbaguzi," saa chache tu baada ya mkongwe huyo kuthibitisha kuwa ataendelea...
Man City wamvizia Pedro Neto LICHA ya dirisha la usajili kuendelea kupamba moto, mabingwa wa England, Manchester City, wameanza kupanga maisha baada ya kuondoka kwa baadhi ya wachezaji wao wa pembeni kwa kumweka nyota wa...
Tyson Fury amchapa mtu BONDIA nyota wa uzani wa juu kutoka England, Tyson Fury, ameonyesha ubabe wake baada ya kumchapa Mpolandi Mariusz Wach kwa TKO katika raundi ya saba kwenye pambano lililofanyika jana Ijumaa...
Gor Mahia yatuma salamu nzito Kagame Cup ikiifumua APR mabao 5-0 MABINGWA wa Kenya, Gor Mahia, wameanza kwa kishindo kampeni ya Kombe la CECAFA Kagame 2026 baada ya kuwachapa mabingwa wa Rwanda, APR FC, mabao 5-0 katika mchezo wa Kundi A ulioonekana kuwa wa...