Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Mbona hawa mapro 10 sio ishu kabisa!

    MASHABIKI huko mitaani wamegawanyika, ishu ni kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ya kutoridhishwa na idadi ya nyota 10 wa kigeni kusajiliwa timu moja na...

  2. Ajibu ni zaidi ya thamani ya dola

    Siku moja na itakuwa asubuhi na wengi tutakuwa kwenye vibanda vya magazeti, vijiwe vya kahawa pia maeneo ya kukutania tukijadili bao zuri linaloweza kuwa bora zaidi msimu huo likiwa limetoka...

  3. Ukweli ndivyo ulivyo: Kina Mkude wasije wakamlaumu mtu!

    Kabla ya kikosi cha wachezaji 32 na jopo lao la makocha hakijapaa, zile nongwa za mashabiki na wadau wa soka zilianza upyaa! Kisa? Kutemwa kwa Ibrahim Ajibu na Jonas Mkude.

  4. Taifa Stars ipo Misri tayari kwa Afcon, tuiombee

    Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mnigeria Emmanuel Amunike katika mazoezi yake ya mwisho akitoa mbinu za nyota kukaba na kushambulia kwa pamoja, alifichua wachezaji saba aliowapiga chini akiwamo Jonas...

  5. Team Samatta, Team Kiba hapatoshi kila kona hapo Taifa leo

    Viingilio kwenye mchezo huo ni Sh2,000 kwa viti vya mzunguko, Sh5,000 eneo maalumu (VIP B) na eneo maalumu zaidi (Champion) itakuwa Sh20,000.

  6. Ajib si wa kwanza hawa pia walikacha soka

    Wakati baadhi ya wadau wa soka wakishangazwa na kitendo cha Ibrahim Ajib kugomea dili la kucheza TP Mazembe, mshambuliaji huyo inaelezwa kwamba anapitia nyayo walizopita kaka zake hawa.

  7. Kapombe ndani Team Samatta wale Team Kiba wajipange

    Mshambuliaji na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amemrudisha uwanjani beki wa Simba, Shomari Kapombe katika kikosi chake cha Team Samatta kinachojianda na mchezo dhidi ya Team Kiba...

  8. Yaani ukizubaa tu imoo!

    SIMBA imetetea taji lake la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa pili na kesho itakabidhiwa rasmi kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro mara baada ya mchezo wao na Mtibwa Sugar.

  9. Ushindi wa Simba waitesa Yanga Ligi kuu

    WANAUME wamerudi. Simba imerudi penyewe. Imerudi kileleni tangu ilipofanya hivyo kwa muda mfupi Agosti mwaka jana na kuziacha Azam na Yanga zikipokezana kabla ya Yanga kukaa jumla hadi jana...

  10. Kapombe akumbukwa Stars

    Kocha wa Stars, Emmanuel Amunike jana alitangaza kikosi chake cha awali cha kushiriki Fainali za Afcon 2019 na kuwajumuisha nyota wapya sana kikosini huku baadhi wakiwa chipukizi.

Previous

Page 30 of 48

Next