Mkurugenzi Barcelona apotezea usajili wa Lionel Messi Mkurugenzi wa Barcelona, Deco, amebainisha kuwa hawezi kusema kama klabu hiyo inaweza kumsajili nahodha na mshambuliaji wa Inter Miami, Lionel Messi, kwa mkopo wa muda mfupi.
Pedro awapa tano mastaa Yanga MASHABIKI wa Yanga wana furaha vilevile mabosi wao, siri ni moja tu ni kwamba kikosi cha timu hiyo kilivyobadilika, lakini kocha Pedro Goncalves mwenyewe humwambii kitu kuhusu wachezaji.
Ndo hivyo: Ghafla tu mipira iliyokufa imegeuka dili Ligi Kuu England BAADA ya miaka kadhaa ya kushuhudia timu za soka zilizokuwa zikitawala dunia ni zile zilizokuwa zikicheza staili ya kupiga pasi nyingi za gonga fupifupi (tiki-taka) kama ilivyokuwa kikosi cha...
Clippers yamtema Chris Paul NBA LOS Angeles Clippers wameachana na Chris Paul katika mazingira yaliyoacha maswali kwa mashabiki wanaofuatilia Ligi ya Kikapu Marekani (NBA).
Gyokeres akusanya kijiji chake STRAIKA, Viktor Gyokeres ameteka mioyo na akili za mashabiki wa Arsenal.
Je Zipi ni Bonasi Maarufu Zaidi za Michezo ya Kubashiri Nchini? Bonasi za kubashiri ni fedha za ziada zinazotolewa kama zawadi na kampuni za kubashiri kumpa nguvu mchezaji/mwekezaji. Zinakuja katika njia mbalimbali, kwa sababu kila kampuni hujaribu...
Mambo mawili yashika mkataba wa Rashford NDO hivyo. Suala la Barcelona kumbeba jumla Marcus Rashford limedaiwa kuwagawa mabosi wa timu hiyo na hivyo kulifanya jambo hilo kubaki njiapanda.
Mastaa mtegoni, Gamondi akiita 53 Taifa Stars Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 53 kwa ajili ya kuanza maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, uteuzi...
Haaland aandika rekodi mpya England STRAIKA wa Manchester City, Erling Haaland amekuwa mchezaji aliyefikisha mabao 100 kwa haraka zaidi ya mchezaji mwingine yeyote katika historia ya Ligi Kuu England.
Bosi Bayern afichua kipengele cha Kane RAIS wa heshima wa Bayern Munich, Uli Hoeness amefichua kwamba kipengele kinachotaja bei anayouzwa straika Harry Kane kitafika ukomo wake mwishoni mwa Januari 2026.