Haaland aandika rekodi mpya England STRAIKA wa Manchester City, Erling Haaland amekuwa mchezaji aliyefikisha mabao 100 kwa haraka zaidi ya mchezaji mwingine yeyote katika historia ya Ligi Kuu England.
Mkurugenzi Barcelona apotezea usajili wa Lionel Messi Mkurugenzi wa Barcelona, Deco, amebainisha kuwa hawezi kusema kama klabu hiyo inaweza kumsajili nahodha na mshambuliaji wa Inter Miami, Lionel Messi, kwa mkopo wa muda mfupi.
Vardy amegoma kuzeeka Serie A STRAIKA veterani, Jamie Vardy amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Novemba kwenye mikikimikiki ya Serie A kutokana na kiwango chake matata kabisa anachokionyesha huko Cremonese.
Oscar afikiria kutundika daruga MSHINDI mara mbili wa taji la Ligi Kuu England, kiungo wa Kibrazili Oscar ameripotiwa kuwa na mpango wa kustaafu soka kutokana na kuwa na tatizo kubwa ya kiafya.
Mbadala wa Xabi Alonso kapatikana Real Madrid REAL Madrid imeanza tayari mchakato wa kutafuta kocha mpya ambaye atachukua mikoba ya Xabi Alonso endapo timu hiyo itaendelea kupata matokeo mabovu.
Aliye ‘inyonga’ Azam kuchezesha Yanga na Ahly leo Refa kutoka Cameroon Antoine Effa Essouma ndiye atachezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baina ya Yanga na Al Ahly, leo Jumamosi, Januari 31, 2025 katika Uwanja...
Paul Peter anazitaka hela dirisha kubwa KUMBUKUMBU tuliyonayo hapa kijiweni ni straika wa mpira, Paul Peter alishawahi kuonja hela za timu kubwa hapa nchini ingawa hazikuwa nyingi sana kwa vile alikuwa bado kinda wakati huo.
Makonda aihakikishia FIFA ushirikiano katika michezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino katika ofisi za FIFA zilizopo...