Hugo Ekitike kufosi dili la Liverpool STRAIKA, anayesakwa kwa nguvu zote na Liverpool, Hugo Ekitike ameripotiwa kuiandikia Eintracht Frankfurt barua ya kuomba kuondoka ili kukamilisha ndoto zake za kwenda kukipiga huko Anfield.
Mbeumo kupewa jezi anayoipenda STAA, Bryan Mbeumo anatarajia kwenda kukabidhiwa jezi Namba 19 atakapojiunga na Manchester United, kutokana na namba huyo kuwa wazi huko Old Trafford.
Man United, Brentford zakubaliana kwa Mbeumo MANCHESTER United imefikia makubaliano na Brentford dili la kumsajili Bryan Mbeumo baada ya mazungumzo ya zaidi ya mwezi mmoja.
Azizi Ki, Ronaldo lolote litatokea KIUNGO wa zamani wa Yanga, Stephen Aziz Ki huenda akacheza timu moja na Ronaldo baada ya staa wa kimataifa wa Morocco, Nordin Amrabat kuthibitisha uvumi kuwa timu yake mpya, Wydad Casablanca...
Bruno apewa muda wa kufikiria MATAJIRI wa Saudi Araia, Al-Hilal wanadaiwa kuwasilisha ofa nyingine mpya na kumpa muda zaidi kiungo wa Manchester United, Bruno Fernandes kufikiria na kuamua ikiwa atakuwa tayari kujiunga nao...
Mo Salah mchezaji bora wa mwaka SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari huko England baada ya staa huyo wa Misri kupigiwa kura zaidi ya asilimia 90.
Gyokeres kachagua timu STRAIKA, Viktor Gyokeres ameshafanya uamuzi wa kutua kwenye Ligi Kuu England na tayari ameshachagua klabu yake mpya ya kwenda kuitumikia msimu ujao.
Guardiola hashtuki KDB kusakwa Anfield BAADA ya kuibuka kwa uvumi Liverpool inafanya mchakato wa kunasa huduma ya Kevin De Bruyne limemuibua kocha wa Manchester City, Pep Guardiola.
Ancelotti atajwa kutua Saudia KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti huenda akatimkia Saudi Arabia licha ya hivi karibuni kudaiwa kufikia makubaliano ya kuchukua mikoba ya kuifundisha timu ya taifa ya Brazil.
Arteta: Ili kufuzu fainali UEFA tunahitaji kitu spesho Paris KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema kikosi chake kitahitaji "kufanya jambo la kipekee jijini Paris" iwapo wanataka kufuzu fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya kupoteza mechi ya kwanza ya nusu...