Chelsea FC yaipa utajiri Brighton HII kali. Chelsea imeilipa Brighton Pauni 257 milioni kwenye miaka ya karibuni, mkwanja ambao unatosha kujenga uwanja wake wa Amex mara tatu.
Kinachokwamisha dili la Gyokeres Arsenal ni hiki SIKU chache baada ya wawakilishi wa Arsenal kuondoka, Ureno bila ya kufikia makubaliano na mabosi wa Sporting Lisbon juu ya mauziano ya Viktor Gyokeres, tovuti ya Independent imefichua ukweli juu...
Man United wao ni Mbeumo tu :MANCHESTER United bado ipo kwenye meza ya mazungumzo na Brentford kwa ajili ya ofa ya kumsajili mshambuliaji Bryan Mbeumo.
Twiga Stars, Banyana Banyana zagawana pointi WAFCON 2025 Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imeipa mshtuko Afrika Kusini ‘Banyana Banyana’ baada ya kuilazimisha sare ya bao 1-1 katika mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita wa Kombe la...
Madueke mawazo yote yapo Emirates WINGA wa Chelsea, Noni Madueke hakujali kuhusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu inayopigwa Jumapili baada ya kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo kurudi London kwenda kuanza maisha mapya kwenye...
Louis Van Gaal afunguka kupona tezi dume KOCHA Louis van Gaal amefichua ameshinda vita ya kumbana na maradhi ya saratani baada ya kudai sasa hana tena tezi dume.
Man United mzuka mwingi dili la Mbeumo NDO hivyo. Brentford imeshamtambua mchezaji ambaye inamtazama kuwa mwafaka wa kuja kuchukua mikoba ya Bryan Mbeumo, ambaye anahusishwa na mpango wa kutua Manchester United kwenye dirisha hili la...
Kumbe Chelsea haina tiketi 2029 CHELSEA haijafuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia la Klabu licha ya kushinda ubingwa wa michuano ya kwanza ya mashindano baada ya kufanyiwa mabadiliko.
PRIME Mfaransa aanika dili la Yanga SC YANGA ilikuwa na hesabu na makocha wawili raia wa Ufaransa, lakini mmoja amefunguka sababu zilizomfanya kurudi nyuma kukubaliana na dili hilo.
Manchester City kuacha mastaa kibao MANCHESTER City iko tayari kuwaruhusu baadhi ya nyota wake waliowahi kung’ara kuondoka katika dirisha hili la majira ya kiangazi, ikiwamo John Stones na Ilkay Gundogan, ikiwa ni muendelezo wa...