Moyes hofu tele kumkosa Grealish KOCHA, David Moyes amethibitisha kuwa Jack Grealish anasumbuliwa na maumivu ya misuli ambayo yatawaacha kwenye pigo kubwa.
Man United imempa presha Carlos Baleba KIUNGO wa Brighton, Carlos Baleba amekiri kwamba tetesi za kutakiwa na Manchester United zilimfanya kuwa na presha kubwa na kumfanya aanze msimu kwa kiwango chenye wasiwasi.
Arteta: Gyokeres? Wenzake ndo shida KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amemtetea straika Viktor Gyokeres kwa kiwango chake alichokionyesha dhidi ya Wolves na badala yake amewaangushia mzigo mastaa wenzake katika kikosi hicho cha Emirates.
Spurs waambiwa mpeni kazi Klopp ALIYEKUWA mmiliki wa Tottenham Hotspur, Lord Alan Sugar amewataka mabosi wa sasa wa timu hiyo kumwajiri kocha Jurgen Klopp ili kwenda kukinoa kikosi hicho.
Utajinyima raha ukiacha kuwatazama hawa jamaa Afcon 2025 Morocco MASHINDANO ya 35 ya soka ya ubingwa wa Afrika (Afcon 2025) yataanza Morocco, Jumamosi hii huku fainali yake ikitarajia kufanyika jijini Rabat, Januari 18, 2026.
Noela avunja mkataba, sasa kutimkia Lithuania BEKI kisiki wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Noela Luhala amevunja mkataba na klabu ya 1207 Antalya Spor ya Uturuki kwa makubaliano ya pande mbili na kwa sasa anajiandaa kutimkia...
Kiatu cha dhahabu AFCON 2025 kipo hapa! MCHAKAMCHAKA wa mashindano ya ubingwa wa Afrika kwa timu za soka za taifa unatarajia kuanza Jumamosi hii na mataifa yataanza harakati wa kuwania ufalme wa michuano hiyo iliyofahamika kwa jina la...
Diddy kumbe alimkaanga Biggie kwa mafuta yake mwenyewe JUMANNE ya Desemba 2 mwaka huu, mtandao wa Netflix uliachia makala ya kushtua kuhusu maisha ya gizani ya nyota aliyeko mikononi mwa sheria, Sean Combs au kwa jina la kisanii, P. Diddy.
Napoli yakataliwa tena kwa Kobbie Mainoo KIUNGO wa Manchester United, Kobbie Mainoo hataruhusiwa kuondoka Old Trafford dirisha la usajili la Januari baada ya Kocha Ruben Amorim kuweka msimamo mkali wa kumbakisha, licha ya kuwepo kwa ofa...
Celine Dion anazeeka na utajiri wake MWANZONI mwa mwaka huu, jina la mwimbaji nguli wa Canada, Celine Dion, liliendelea kutawala vichwa vya habari za burudani duniani licha ya changamoto za kiafya alizopitia katika miaka ya hivi...