Fainali Mapinduzi Cup 2026 kuchezwa Pemba WAKATI michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 ikitarajiwa kuanza Desemba 28, 2025 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex kisiwani Unguja, imeelezwa kwamba fainali itapigwa Pemba.
Ishu ya kocha mpya, Simba yarudi tena mezani SIMBA inakaribia kumaliza mchakato wa kumpata kocha mpya wa kuiongoza timu hiyo baada ya Desemba 2, 2025 kuachana na Dimitar Pantev kwa makubaliano ya pande mbili.
Hersi afafanua ukweli ulivyo madai ya kuishambulia Simba BAADHI ya mashabiki wa Simba wanalia juu ya uwasilishaji uliofanywa na Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Soka Afrika (ACA), Injinia Hersi Said kwenye kongamano la soka...
Adhabu za Ligi Kuu Bara zaibua maswali KUNA maswali mengi yameibuka baada ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Desemba 15, 2025 ilipopitia mwenendo na matukio...
Muvi ya wiki One Night In Bangkok KAI Kahale nafasi iliyoigizwa na mkongwe wa filamu za mapigano, Mark Dacascos, mtu mwenye sura ya upole na utulivu aliyeibuka Bangkok, Thailand akiwa na siri nzito kifuani iliyojaa chuki ya...
Achraf Hakimi akoleza mzuka Morocco ikisaka taji NYOTA wa timu ya taifa ya Morocco, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG), Achraf Hakimi amewatia hamasa wachezaji wenzake kwa kuwataka kupambana ili kumaliza ukame wa kubeba ubingwa wa Kombe la...
Kocha Chipolopolo azuiwa Afcon 2025, sababu yatajwa Siku tatu kabla ya kuanza kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 huko Morocco, Zambia imepata pigo baada ya Kocha wake Mkuu, Moses Sichone kuzuiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika...
Salah atabiriwa mabaya AFCON 2025 HOFU imezidi kuongezeka kwa mashabiki wa soka huko Misri baada ya timu hiyo ya staa wa Liverpool, Mohamed Salah kutabiriwa na kompyuta mpya kuwa itatolewa mapema katika michuano ya mataifa ya...
Roma, Man United hakijaeleweka kwa Joshua Zirkzee MANCHESTER United na AS Roma ziko mbali sana kufikia makubaliano ya dili la mshambuliaji raia wa Uholanzi, Joshua Zirkzee, mwenye umri wa miaka 24.
Graeme Souness: Manchester United wa kawaida sana MCHEZAJI wa zamani wa Liverpool, Graeme Souness amesema kuwa suala la Manchester United kumaliza ndani ya nafasi nne za juu na kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya bado ni ndoto kwani ni timu ya...