Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9741 results for Mwandishi :

  1. Chelsea yasajili wawili kwa mpigo

    Inaelezwa kuwa Quenda ameigharimu timu hiyo kitita cha pauni 43.7 milioni, huku Essugo yeye akijiunga na Chelsea kwa kitita cha pauni 18.7 milioni.

  2. Lookman anauzwa nje ya Italia

    KLABU za Ligi Kuu England zitapigana vikumbo kuwania huduma ya mkali wa Atalanta, Ademola Lookman baada ya klabu yake kufichua itakuwa tayari kumpiga bei nje ya Italia dirisha lijalo.

    LOOKMAN Pict
  3. Dili la Arsenal kwa Gyokeres latibuliwa

    CHELSEA inaripotiwa kuingilia dili la Arsenal kwa straika wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres iliyehitaji kumsajili katika dirisha hili.

    GYOKERES Pict
  4. Timu za EPL njia ngumu inazihusu

    KUELEKEA msimu ujao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, timu sita za Ligi Kuu England zinatarajiwa kukabiliwa na droo ya kutisha ambapo kila timu itakutana na walau vigogo wawili wa Ulaya.

    EPL Pict
  5. Ishu ya Rudiger yafanyiwa kazi

    SHIRIKISHO la kimataifa la vyama vya soka (FIFA) limeanzisha uchunguzi juu ya madai ya beki wa Real Madrid, Antonio Rudiger kufanyiwa ubaguzi wa rangi kwenye mechi ya fainali za Kombe la Dunia la...

    RUDIGAR Pict
  6. Alexander Isak hadi atake yeye!

    LIVERPOOL na Arsenal zitalazimika kumtaka straika Alexander Isak kufanya uamuzi mwenyewe kama anataka kuachana na Newcastle United kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.

    ISAAK Pict
  7. Jeshi la Polisi latoa uhakika wa usalama Kariakoo Dabi

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia usalama wananchi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumatano Juni 25, 2025 huku ikiwaonya wenye lengo la...

  8. Rashford atafuta nafasi Barcelona

    STAA, Marcus Rashford amesema anataka kwenda kujiunga na Barcelona ikiwa ni ujumbe wa kijanja anaotuma kwa Wahispaniola hao ‘njooni mnichukue’.

    RASHFORD Pict
  9. Esperance walia na ubora wakitupwa nje Kombe la Dunia

    Esperance imekiri kwamba ubora wa Chelsea dhidi yao umeamua kwa kiasi kikubwa matokeo ya mchezo baina yao katika mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Dunia la Klabu iliyochezwa...

    ESP Pict
  10. Liverpool imemnasa Wirtz kibabe sana

    LIVERPOOL imepambana vita kali kwenye mchakamchaka wa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Kijerumani, Florian Wirtz ikifikia makubaliano ya kumsajili kwa ada ya Pauni 116 milioni.

    LIVERPOOL Pict
Previous

Page 274 of 975

Next